pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
You need psychological help.Mkuu punguza kisebengo kama zikuumiza niweke ignore list
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You need psychological help.Mkuu punguza kisebengo kama zikuumiza niweke ignore list
sio rahisi anastahili pongezi zake, labda kama una wivu!?Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Mna kumbukumbuMkuu si kama wewe tu ulivyoamua kujiita Gilesi ili kuvutia wana jf sema yeye imempa hela!, kipaji ni kilekile ila matokeo tofauti!
Issue Sio Upako.Issue ni PesaDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe

Dola mil 3?kununua kiwanja eti.Muumini gani wa kutoa hizo pesa?
Jioni ya leo mbengo zitafongokaDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Kwenye hayo makanisa kuna utakatishaji mkubwa mno wa fedha haramu ambazo zinapatikana kutokana na biashara haramu!!! Fanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu kwenye matumizi, hakika utafanikiwa!Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye hayo makanisa kuna utakatishaji mkubwa mno wa fedha haramu ambazo zinapatikana kutokana na biashara haramu!!! Fanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu kwenye matumizi, hakika utafanikiwa!
Babamentor wake/yake wa kiroho Prophet Eubert Angel ndio mshiriki mkuu kwenye sakata la GOLD MAFIA...na huyu dogo huwa anatimba sana Zimbabwe hapo!! So ask yourself...Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Wote wanaotoa ushuhuda mim siwajui, kwani huwa wanadai wametoka mbali huko hawajulikani. Sasa wewe sema nani kapona unayemjua? Au na wewe kama mimi hakuna unayemjua?Niambie nani unayemjua ambaye hakupona ila akasema amepona?
Wahuni hawa, wanatakatisha fedhaBabamentor wake/yake wa kiroho Prophet Eubert Angel ndio mshiriki mkuu kwenye sakata la GOLD MAFIA...na huyu dogo huwa anatimba sana Zimbabwe hapo!! So ask yourself...
Nikifanikiwa nitautafuta upako hata wa kununua NigeriaKwenye hayo makanisa kuna utakatishaji mkubwa mno wa fedha haramu ambazo zinapatikana kutokana na biashara haramu!!! Fanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu kwenye matumizi, hakika utafanikiwa!
Umeona ehhIssue Sio Upako.Issue ni Pesa
Wivu GANI?sio rahisi anastahili pongezi zake, labda kama una wivu!?
Watu wana hela mtani sio poaGari ya bilioni moja??