Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Kwani Kapola kaanza kuwa mchungaji mwaka huu?
Huo mfano nimeutoa kwa ibada moja kumbuka sijahesabia matamasha ya injili na events nyingine zinazoingiza hela.
Mkuu acha kujidanganya.

Unakumbuka Alex Msama?

Kuandaa Tamasha mashuhuri ina cost 100 to 200M.

Amefanya hiyo kazi kwa miama kibao. Alishafiriska.

Unatumia 300M kuandaa tamasha na watumishi maarufu au waimbaji lakini Return za michango na harambee zinaangukia kwenye 250M unakula hasara ya 50.

Jamaa ana kesi mpaka leo za madeni.

Kuwa realistic hutawaza hivyo.

Nikuombe tu mfahamu Prophet Bushiri then ukasome Makala ya Uchunguzi wa kiintelijensia " The Gold Mafia" ya Aljazeera.

Utaelewa na uache kupaniki.

Vijana mtaangamia kwa kukosa maarifa.

Hii makala itakupa insights pia kwa nini Vita ya Congo haiishi
 
Haya mambo yanasiri kubwa sana...

Cc: Mahondaw
1000011924.jpg
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Chai.
 
Kama amekopa je nani ajuaye? Kama kuna kigogo kaamua kutakatisha fedha zake ili zirudi in terms of sadaka nani ajuaye? ila msio na akili mnajua hela ni zake kumbe nyuma yake kuna wabia wengi, church in other term its a public share company. kama una kichwa chenye uelewa mdogo hizi systems ni ngumu kuzielewa.
 
Kufanya watu wakuletee sadaka, waanguke na mapepo, ukutane na watu wakuunganishe kwenye chaneli za hela si kazi rahisi; kuna mazingaombwe yaliyojificha.

Kitabu kile ni njia tu.​
 
Wengi mnadhani ni sadaka peke yake mtakaa sana watu kupitia hayo makusanyiko wanavusha vitu vingi illigally na ndiko dolari zinakopigwa huko unakuta humo makusanyikoni kuna drug mules wa kutosha na wanafanya mawasilisho kwa uaminifu mkubwa
 
Kama amekopa je nani ajuaye? Kama kuna kigogo kaamua kutakatisha fedha zake ili zirudi in terms of sadaka nani ajuaye? ila msio na akili mnajua hela ni zake kumbe nyuma yake kuna wabia wengi, church in other term its a public share company. kama una kichwa chenye uelewa mdogo hizi systems ni ngumu kuzielewa.
Kwahiyo pesa sio zake ni zako ?
 
Back
Top Bottom