Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
Sasa MD wangapi wako Gaming board? Wangapi wako BoT? Wangapi wako Tasac? Wangapi wako ewura? Wangapi wako Tpdc? Wangapi wako TIRA? COMPARED to other professionals ๐Upo sawa yaaani kada zote zimejazana gaming boards watu wanakula helaa pale๐๐๐๐
Yaani TAMISEMI wamejazana MD tu wanalipwa kidogooo
We jamaa ni genius aisee,nakubali sanaaa๐๐๐
Hawezi mzidi hata mshahara,๐๐๐,yaani kwanza MD ni masikini sanaaaaa,angalia njaa tu ,na kama ulivosema MD akiwa halmashauri haruhusiwi kupata hela nje ya msahara zaidi ya afisa ardhi,hii mbona ni facfs aiseee๐๐๐Sasa MD ana michongo kumzidi afisa ARDHI mipango miji? Kasome report ya Tume ya warioba, ''Corruption and State ' utakuta sehemu zilizotajwa kwa magumashi ARDHI Iko juu na sio Afya, nyie msubiri buku 50 za OnCall
- tegemea mshahara uishie kula tu
Eg sociologists wa TARURA anakuzidi kwa salary mbali sana ww hapo halmashauriUpo sawa yaaani kada zote zimejazana gaming boards,EWURA,na TASAC watu wanakula helaa pale especially SOCIOLIST wa TARURA๐๐๐๐
Yaani TAMISEMI wamejazana MD tu wanalipwa kidogooo
We jamaa ni genius aisee,nakubali sanaaa๐๐๐
Wahasibu,walimu,sociologist wengi hawapo halmashauri wamejazana BOT,TIRA na TPDC yaani ajira nje nje,๐๐๐๐Sasa MD wangapi wako Gaming board? Wangapi wako BoT? Wangapi wako Tasac? Wangapi wako ewura? Wangapi wako Tpdc? Wangapi wako TIRA? COMPARED to other professionals ๐
Nakwambia huwezi kumfikia ofisa ARDHI mipango miji, nakupa mfano tu mtu anauza ARDHI ya miloni 500 ili hiyo transfer unajua inahitajika nini ili upate hati yako ๐๐๐Hawezi mzidi hata mshahara,๐๐๐,yaani kwanza MD ni masikini sanaaaaa,angalia njaa tu ,na kama ulivosema MD akiwa halmashauri haruhusiwi kupata hela nje ya msahara zaidi ya afisa ardhi,hii mbona ni facfs aiseee๐๐๐
Eg sociologists wa TARURA anakuzidi kwa salary mbali sana ww hapo halmashauri
Mwemdesha mastaka anakuzidi mbali sana kwa hela huo mshahara wako wa halmashauri haufikii posho yake ya nyumba, bado posho ya simu, extraduty, hardships allowance ๐ ww ni Mbweha msubiri mshahara taka taka
Mbona hizo nyingi sana.Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Ww umechanganyikiwa? Mimi kwenye Mada yangu wapi niliweka walimu? Mbwa kabisa ww Mbweha msubiri mshaharaWahasibu,walimu,sociologist wengi hawapo halmashauri wamejazana BOT,TIRA na TPDF yaanaia ajira nje nje,๐๐๐๐
Ni MD tu ndio haruhusiwi kufanya kazi zaidi ya halmashauri tu,....we jamaa una facts sanaa๐๐๐
- MD siku hizi WanaFanya interview na nyie pia mko wengi sio kama zamani Mbweha msubiri mshahara taka taka masikiniHii ni facfs hata sociologist walio.mtaani ni wengi sanaaa ukilinganisha na MD,maana TARURA pale nafasi zinawangoja,๐๐๐
Daah jamaa una madini sanaa
Upo sahihi kabisa halmashauri zote Viwanja vya milioni 500 ni vingi sanaaaa na mafisadi ardhi wanajichotea tu,๐๐๐๐kukuta afidha ardhi anaingiza milioni 50 kwa mwezi baada ya kuuza Viwanja halmashauri ni kawaida sanaaaNakwambia huwezi kumfikia ofisa ARDHI mipango miji, nakupa mfano tu mtu anauza ARDHI ya miloni 500 ili hiyo transfer unajua inahitajika nini ili upate hati yako ๐๐๐
Upo sawa aisee unajua halmashauri SOCIOLOGIST na ACOUNTANTS analipwa kidogo kuliko mwalimu wa degree๐๐๐na MD๐๐๐Ww umechanganyikiwa? Mimi kwenye Mada yangu wapi niliweka walimu? Mbwa kabisa ww Mbweha msubiri mshahara
MD wapo wengi kuliko wahasibu,walimu na masociologist๐๐๐,hii ni sahihi kabisa,........unajua wahasibu,walimu,sociology wengi wamejazana TARURA,wanakula kuku kwa mrija pale- MD siku hizi WanaFanya interview na nyie pia mko wengi sio kama zamani Mbweha msubiri mshahara taka taka masikini
Kwenye Hoja yangu nimetaja walimu? MbwehaMD wapo wengi kuliko wahasibu,walimu na masociologist๐๐๐,hii ni sahihi kabisa,........unajua wahasibu,walimu,sociology wengi wamejazana TARURA,wanakula kuku kwa mrija pale
Unajua SOCIOLOGIST TAMISEMI analipwa zaidi ya walimu,hii imejaaji hii mzee wa facts๐๐๐Kwenye Hoja yangu nimetaja walimu? Mbweha
Onyesha ni wapi niliataja walimu?Unajua SOCIOLOGIST TAMISEMI analipwa zaidi ya walimu,hii imejaaji hii mzee wa facts๐๐๐
Ni sahihi kabisa yaaani mke wangu aligongwa sana na SOCIOLIST wa TARURA, maana wana hela mnooo,aisee unajua TARURA SOCIOLIGISTS wamejazana sana kule,kiasi hata mtaani hawaonekani๐๐๐spleen na mkeo atagongwa sana na maofisa wa tra ewura tasac ๐si huna hela unakazi ya kusifu takataka za laki8
Tafuta hela na uache kusifu takataka za laki8, wenzio halmashauri Wana michongo ya magumashi mingi ww umekaa tu unapiga kelele na takataka za laki8N
Ni sahihi kabisa yaaani mke wangu aligongwa sana na SOCIOLIST wa TARURA, maana wana hela mnooo,aisee unajua TARURA SOCIOLIGISTS wamejazana sana kule,kiasi hata mtaani hawaonekani๐๐๐
Walimu wanalipwa salary ya tofauti sanaa na wahasibu na SOCIOLOGIST TAMISEMI๐๐๐๐,......We jamaa ni genius yaaaaniOnyesha ni wapi niliataja walimu?
Najua sasa hivi huna hela na mshahara wako wa laki8 umeisha, nenda kakope kwa mangiWalimu wanalipwa salary ya tofauti sanaa na wahasibu na SOCIOLOGIST TAMISEMI๐๐๐๐,......We jamaa ni genius yaaaani