Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Na unatakiwa umsikilize mgonjwa kwa makini! Mwanasiasa tena darasa la saba anapeta!!!
 
Tafuta hela na uache kusifu takataka za laki8, wenzio halmashauri Wana michongo ya magumashi mingi ww umekaa tu unapiga kelele na takataka za laki8
Hapa ni kusoma SOCIOLOGY tu ili tupate hela zaidi ya MD,tufanye kazi gaming boards na TARURAπŸ˜†πŸ˜
 
Na umesoma miaka6?
Hizo ni sera za serikali. Hata angesoma miaka 7 ulitaka afanyaje kama muundo upo hivyo?!

Ni kweli kabisa, MD's wanastahili kupata kikubwa kulingana na miaka wanayotumia shule na unyeti wa kazi zao ila huwezi kupingana na kilichokuwepo kwa wakati huu.

Lakini popote penye MD, yeye ndio ataongoza kulipwa mshahara kuliko kada nyingine.
 
Nimesoma nae, tena science na lipata div 1 nzuri kabisa. Alipata III yake. Namjua personally. Alafu huo nshahara ni mdogo Sana. Unalinganisha na watu ambao kazi zao sio ngumu, hawaamki usiku, sikukuu wanakula Bata, Wana muda wa mambo mengine, na wanapata pesa kuliko hicho kimshahara. Hizo TGHS, tunazijua sana. Ni za kawaida mno. Hakuna maajabu. Kudanganyana tu.
 
Kwahiyo unashauri nn. Suluhisho nini.

Huwa tunavilaumu vyama vya upinzani vyetu nchi vinaishia kuorodhesha kero, kukosoa, kulalamika na kubeza juhudi bila kuja na suluhisho la kero kama wao wengekuwa au watakuwa madarakani.

Waambie waache kazi
 
Kwa hio masaa ya kazi kwa MD ni tofauti na kada nyingine serikalini?
Kwa hio kada zingine wanalipwa kidogo kwa kua wanafanya kazi kidogo?,πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜ƒ
Wakifanya kazi sana watalipwa sana,si ndio?πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€
Kwa hio TGHS ni ndogo kiasi hata utumishi wanakosa watu wa kuwafanyia usaili?
 
Hapa umetoa boko, kada za afya muda mwingi wanatumika kazini, tofauti na kada zingine ikifika saa 9 siku ya kazi imeisha.
Basi sawa...
 
Hapa umetoa boko, kada za afya muda mwingi wanatumika kazini, tofauti na kada zingine ikifika saa 9 siku ya kazi imeisha.
Basi sawa...
Wanatumika bure si ndio eeeeh?,
Au kwa kua unaona hospitali inafanya KAZI 24/7 unajua watu ni hao hao tu hawarudi nyumbani?πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
Muda wa kazi kwa watumishi wote wa umma ni masaa 8 tu,more than that watu wanapewa maokoto yanazidi hata mshahara wa mwalimu halmashauri kwa huo muda wa ziadaπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
 
Ha ha ha..ndo maana unakuta doctor anahangqika na vitu bidogo kam vidawa
 
Muda wa ziada anaopata mwalimu anaweza kumake kipato kikubwa tofauti na mtu anaesubiria extra duty, na ukiachana na ego maticha wa siku hizi wanamaendeleo kuliko watu wa afya, sababu wanamuda wa kufanya vitu vingine vya kuwaingizia kipato tofauti na kusubiria tu mshahara. Kama wewe upo kwenye kada ya afya utoke night ambayo imechangamka haswa halafu uniambie ile SD kama utaweza kufanya shughuli nyingine zaidi ya kulala tu.
Basi sawa...
 
Kua mwalimu wa kiswahili awe na maendeleo kuliko MMED,πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mwalimu anahitaji kufanya kazi miaka zaidi ya 20 kufika salary scale inayofanana amount na TGHS G
mwalimu alifeli sekondari ndio manaa akashindwa kua DaktariπŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£
 
Uko na ego mdogo wangu, yani MMED ndio unafanya ulinganifu na mwalimu ambaye yeye hata akiwa na masters hana scale ya mshahara? Na most MMED wako kuanzia RRH huko fanya ulinganifu kwa hawa wengi ambao wapo Halmashaur
Basi sawa...
 
Wewe ndio kilaza,unadhani kumpata MD kwenye jeshi lolote lile mi rahisi kama kua na makalio?
MD haingii jeshini kama kuruta wa kozi za miezi sita
MD lazima awe commissioned officer
Wewe niite majina yote ila nakuambia hakuna MD anayeanza na nyota huko PT, MT, UT, ZT. Hakuna
 
Mnagombana tu bure kila mmoja ale kulingana na urefu wa kamba yake kiufupi haya maajira hata ulipwe 5m bado njaa ni ileile.
Bora waliojiajiri
 
Uko na ego mdogo wangu, yani MMED ndio unafanya ulinganifu na mwalimu ambaye yeye hata akiwa na masters hana scale ya mshahara? Na most MMED wako kuanzia RRH huko fanya ulinganifu kwa hawa wengi ambao wapo Halmashaur
Basi sawa...
Kwani MMED sio MD?,kwani mwalimu,muhasibu,sociologist anakatazwa kusoma mastersπŸ˜…πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€
Umegundua kua hatuwezi kulinganisha MD na degree za kipuuzi enheeeπŸ˜†πŸ˜€πŸ˜†
 
Wewe niite majina yote ila nakuambia hakuna MD anayeanza na nyota huko PT, MT, UT, ZT. Hakuna
Yaani MD aanzs na nyota TPDF ila asianze na nyota hayo majeshi mengine?πŸ˜€πŸ˜€
MD sio matako,by the way MD hawezi kua desperate hata iweje awe polisi bila kuahidiwa nyota,yaani haweze kua na njaaaa hio hata iweje
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,hata Kama ingekua kweli farsafa yako
Kua MD FFU,au MD awe analinda benki yaaani ndio logic yakoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜€
 
Kwani MMED sio MD?,kwani mwalimu,muhasibu,sociologist anakatazwa kusoma mastersπŸ˜…πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€
Umegundua kua hatuwezi kulinganisha MD na degree za kipuuzi enheeeπŸ˜†πŸ˜€πŸ˜†
Masters ni sawa na degree??? Kwanza unafanya kazi hospital gani ili nikiumwa nikukwepe?πŸ˜…
Basi sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…