Wanafungwa makapuku na wasio na koneksheni tuWatakatishaji pesa wengi hizi ndio aina ya kauli zao, ila 40 yao ikitimia unawaona wakifikishwa mahakama ya kisutu kuhusika na magenge ya uhalifu.
Wenye diploma...Ndio maana una masters na bado unatumwa na wenye diploma!
Una akili za kipumbavu! Na umekoment upumbavu!
Full stop!
Mjulishe hili ....Anataka anunue Brevis mwaka wa kwanza kazini.
Halafu jaribu kupitia mahali mtu amefungua Hospital yake,biashara kubwa tu kaangalie kodi anayolipa kwa mwaka mzima hata laki moja haifikiSema wakuu kodi tunayo lipa Serikali ni kubwa sana. 290k Seriously?
Watoto wa mjini hawa wamezoea viepe na biriani za sele bonge, na bia za promosheni za beach kidimbwi, alafu we unawaambia waje shamba? Unafanya masikhara nini? Shamba sio lelemama mkuu!Kama mjini kumekushinda karibu Ifakara tulime, nchi kubwa hii kuna mapori yanauzwa laki kwa heka 1. Karibu shamba.
Mkuu, ule mpqngo wako wa kuhama vpAnataka anunue Brevis mwaka wa kwanza kazini.
Kuhama wapi kuhamia wapi?Mkuu, ule mpqngo wako wa kuhama vp
Mkome. Nyie ndio mlikuwa mnawaambia wenzenu wanaosoma arts kuwa wanasoma masomo ya kidada. Sasahiv hao madada ndio wanaamua ninyi mlipwe kiasi gani ama msilipwe liniWatu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O level
Kitu ambacho kilifanya hadi kuwadharau watu waliokuwa wanasoma combinations za arts na biashara
Ila uhalisia tunakuja kuujua wakati tushachelewa
Kwenye ule uzi wako WA kuhusu tamisemi Si ulisema kua piga ua lazima utoke LGA?Kuhama wapi kuhamia wapi?
Kijana acha kuwaongopea watu.Watu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O level
Kitu ambacho kilifanya hadi kuwadharau watu waliokuwa wanasoma combinations za arts na biashara
Ila uhalisia tunakuja kuujua wakati tushachelewa
Basi waache waendelee kutamba insta na tiktok fainali uzeeniWatoto wa mjini hawa wamezoea viepe na biriani za sele bonge, na bia za promosheni za beach kidimbwi, alafu we unawaambia waje shamba? Unafanya masikhara nini? Shamba sio lelemama mkuu!
Nisamehe kaka utani tu usichukulie serious japo nimeongea ukweli unaouma!Wenye diploma...
Mi natumwa na madiwani darasa la saba.
Haya bwana wazee wa personal attack.
I just AGREE TO DISAGREE
Bwana awe nawe na APONYE MOYO WAKO.
#YNWA
Endeleeni kulinda.Na sisi walinzi tunaolipwa 120,000/= tufanyaje......????
Unanifananisha, Mimi siyo muajiliwa wa serikali wala private sector.Kwenye ule uzi wako WA kuhusu tamisemi Si ulisema kua piga ua lazima utoke LGA?
Kwahiyo unahisi ccm wakitoka ndiyo mishahara itapandaNa sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Kumbe ni Mwalimu huyu?Kijana acha kuwaongopea watu.
Ninakufahamu wewe ,mzee wako familia yako, chuo ulichosoma bagamoyo ,elimu yako, shule ulizohama nk.
Ndio maana Mpwayungu anawadharau sana.
Rudia comment yangu mstari wa mwisho..... japo nimeongea ukweli unaouma!
[emoji2][emoji2][emoji2]mzee raia tukiweka salary slip hapa mbona utakimbiaKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?