Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Mie nilikataa kusomea udaktari Mana nilikuwa nawaona hawakuwaga na maaajabu mno ya kipesa
 
Hii ni kweli OLEVEL wale waliokuwa wanasoma Physics, chemistry walikuwa wanawaona wazembe watu wa arts na commerce
The same applies to Alevel, shule yenye kombi za PCM,PCB takers hujifanya superior than HKL,HGL,HGE,KLF
.
 
Mbona huyu analipwa Hela nyingi sana? Ulizia wengine wanapata shilingi ngapi!!
 
🔹 Acha kujiliza

🔹 Mbona hujaweka za semina mnazokwenda Kila wakati na zenyewe sio fedha?

🔹 Mbona hujaweka zile za kumwona daktari na zenyewe sio Pesa

🔹 Mbona hujaweka zile za extra duty na zenyewe sio fedha?

🔹 Mbona zile posho mbalimbali hujaweka na zenyewe sio pesa
 
Kuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Na hapo bills kibao za msingi analipiwa na serikali Hadi za Kwa waganga,,na mbaya zaidi elimu zao wengi wao ni hovyo then ndio wanatunga Sheria za kumuongoza Dr akiwa kwenye majukumu yake ya kiutumishi,,Ulimwengu Una Watu wana kaupuuzi Sana,,,na hauna la kufanya zaidi ya kupambana nawe upate tobo uingize umwage mambo ya Jipe,,,Ule Raha za ulimwengu huu
 
Ahueni wanapewa pia viposho na pia vi semina vya hapa na pale. Kinyume na hapo, tofauti yao na walimu ingekuwa ni ndogo sana.
 
Ela yote hiyo, wengine tunapambana tufuke huko ila mambo magumu, vikwazo kibao, mpaka tunahishi ushirikina
 
Hiyo Kodi Sasa utadhani wakataji wanafanyie Cha maana
Ni kununulia tu magari ya kifahari, halafu baadaye wanayatumia magari hayo hayo kushantia watoto wa chuo. Hakuna kingine cha maana wanachofanyia.

Maana kama ni kuhusu miradi; mingi inajengwa kwa hela za mikopo.
 
Kuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Hawa mbuzi hawana kabisa faida kwenye hii nchi! Tena bora hata wale wa upinzani. Ila siyo hawa wa chama tawala. Halafu cha kushangaza sifa yao kuu ya kuwepo pale, eti ni kujua tu kusoma na kuandika!!
 
Basic ni
Basic ni 1,530,000 Mkuu
 
Kuna x wangu ni daktari ule mkoa mpya jirani na Rukwa huko alikataa kuja Dar kufanya kazi hapa wakati yupo Singida. Ghafla naona jina lake huko uswekeni. Kwa pesa hiyo sijui anaishije bush huko.
 
Umeshasema hiyo ni kwa Makadirio,kumbe huna uhakika kwa hiyo hoja yako tunaitupilia mbali.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…