The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Tukichukulia realty ni percent ndogo sana,ndogo mno ya wanaume walio ktk ndoa wanaothubutu kuomba huo ujinga kwa wake zao hata kama ni wanywa pombe mpaka wakapitiliza.Amesema "miongoni mwa sababu" inamaanisha sio sababu pekee.
Iko hivi,mwanaume hana asili ya kubomoa nyumba yake kama akitaka huo mchezo atautafuta kwa wanawake wa nje na hakosi wa kufanya nae.hizi tafiti za kufanywa na wanawake kuhusu wanaume obviously haziwezi kuwa sahihi kutokana na hawajui uanaume ulivyo.