Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hii si changamoto yangu, nimesema nilichokishuhudia , anyway sijui kosa langu ni lipiDokezo langu: inasikitisha ikiwa hadi mwanajf hajui kuhusu utaratibu wa wanaotakiwa kuhesabiwa. Je, huko sigimbi?
Mbwembwe zote zile za hamasa zilikuwa na faida gani ikiwa watu hawajui utaratibu?🤔