Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 925
- 1,202
Ulitaka ale ugali maharage? Kama bado hajakabidhiwa hiyo nyumba jeFedha anazotumia Grand Melia zingepelekwa kusaidia wahanga wa mafuriko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka ale ugali maharage? Kama bado hajakabidhiwa hiyo nyumba jeFedha anazotumia Grand Melia zingepelekwa kusaidia wahanga wa mafuriko.
Wewe umepeleka nini kwenye hayo mafuriko. Mwamba yupo kupanga mipango ya maandalizi ya mapokezi ya Rais wetu na Jemedari wetu mpendwa Daktari Samia Suluhu Hasssan hapo siku ya kesho.Fedha anazotumia Grand Melia zingepelekwa kusaidia wahanga wa mafuriko.
Kichaa ni kichaa tu na wewe ni kichaa .Sasa unakataa humtaki tena makonda kuwa mumeo?
Kwa hiyo mlitaka aje kuwabeba mkalale nae hapo hotelini?😂😂😂😂Heshima kwenu.
Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.
Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.
Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
Unauhakika anatumia fedha za serikali...?Fedha anazotumia Grand Melia zingepelekwa kusaidia wahanga wa mafuriko.
Mumeo huyo ni wewe mwenyewe uliyempenda.Kichaa ni kichaa tu na wewe ni kichaa .
Kyai kya moto.
Kyai kya moto.
Heshima kwenu.
Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.
Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.
Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
Huyo mshamba kajulia kuwa pumbaza wakubwa , so anatoboa kimagumashi magumashi Kwa ujinga na hofu za KIpumbavu,bashite kajua hofu za viongozi anacheza nazo anaishi, shame to leadersHeshima kwenu.
Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.
Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.
Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
Hata kipindi kile chadema mnateseka mwenyekiti mboe alimdrop wema sepetu kia na kwende kujivinjali naeKwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara wa watu 20. Hii ni siyo chini ya Sh105 milioni. Hizi ni pesa za nani? Bashite hataki kuingia katika nyumba ya serikali. Kwanini unaruhusu haya yatokee? Je, unakubaliana naye katika huu UFISADI? Kwanini asiingie katika nyumba ya serikali?
View attachment 2960954
Wewe endelea kupiga Kelele tu humu ndani! Makonda anakaa kwake Masaki akiwa Dar akiwa kwao Mwanza anakaa Capri Point kwake unataka akiwa Arusha akae Lodge ili kukufurahisha wewe mjanja uchwara!Huyo mshamba kajulia kuwa pumbaza wakubwa , so anatoboa kimagumashi magumashi Kwa ujinga na hofu za KIpumbavu,bashite kajua hofu za viongozi anacheza nazo anaishi, shame to leaders
Kwa hiyo hapo Grand Melia anapoishi ndio kwenye hizo nyumba zake?Makonda ana nyumba zake hapo Arusha.