Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Heshima kwenu.

Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.

Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.

Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
Kwa hiyo mlitaka aje kuwabeba mkalale nae hapo hotelini?😂😂😂😂
 
Heshima kwenu.

Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.

Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.

Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
 
Attachments

  • IMG-20240411-WA0525.jpg
    IMG-20240411-WA0525.jpg
    54.1 KB · Views: 1
Heshima kwenu.

Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.

Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.

Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
Huyo mshamba kajulia kuwa pumbaza wakubwa , so anatoboa kimagumashi magumashi Kwa ujinga na hofu za KIpumbavu,bashite kajua hofu za viongozi anacheza nazo anaishi, shame to leaders
 
Kwa hali hii, tutafika?

Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X

Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara wa watu 20. Hii ni siyo chini ya Sh105 milioni. Hizi ni pesa za nani? Bashite hataki kuingia katika nyumba ya serikali. Kwanini unaruhusu haya yatokee? Je, unakubaliana naye katika huu UFISADI? Kwanini asiingie katika nyumba ya serikali?

View attachment 2960954
Hata kipindi kile chadema mnateseka mwenyekiti mboe alimdrop wema sepetu kia na kwende kujivinjali nae
 
Huyo mshamba kajulia kuwa pumbaza wakubwa , so anatoboa kimagumashi magumashi Kwa ujinga na hofu za KIpumbavu,bashite kajua hofu za viongozi anacheza nazo anaishi, shame to leaders
Wewe endelea kupiga Kelele tu humu ndani! Makonda anakaa kwake Masaki akiwa Dar akiwa kwao Mwanza anakaa Capri Point kwake unataka akiwa Arusha akae Lodge ili kukufurahisha wewe mjanja uchwara!
Mshamba kakukuta mjini kakuzidi mafanikio nikujurishe tu katika watu wenye Pharmacy kubwa hapa nchini Makonda yupo na kwenye Real Estate ukifika Capri point Mwanza utalia maana una wivu sana na wanaume!
 
Bavichaa na CHADEMA wanapenda sana uzushi na kutokutumia akili kufikiri. Kila kitu kina taratibu na utaratibu wake wa kuingia katika ofisi fulani ya umma au nyumba ya serikali. Nyumba ya serikali hufiki tu na kukurupuka kuingia utafikiri unaingia kwenye uwanja isoio na Uzio. Shida na tatizo la CHADEMA na vijana wake ni kukurupuka,mihemuko,na kutofanyia utafiti taarifa wanaporishwa na kupotoshwa. Pili ni ukurupukaji na uropokaji.
 
Back
Top Bottom