Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Angekaa kimya, analofanya sasa ninkuchokonoa hasira za watu waliokwisha sahau, jambo ambalo litaripua chuki dhidi yake mara kadhaa zaidi!!
 
ule mwisho wake umefika,ayafanyie lamination hayo maneno yake
 
Makonda ni debe tupu. Kuwa mkuu wa mkoa kwa miezi 6 tu anaita press. Je. akimaliza mwaka si atatembea uchi kabisa?

Kwani kumuua mtu lazima uwepo eneo la tukio? Mbna waliotaka kumuua Bonge Tarimo wapo Brazil na tukio limefanyika wakiwa huko huko?
 
Angekaa kimya, analofanya sasa ninkuchokonoa hasira za watu waliokwisha sahau, jambo ambalo litaripua chuki dhidi yake mara kadhaa zaidi!!

Nimewaza kama yuko mbioni kutafuta visa ya Marekani ndo maana anajisafisha.

Yaani ametoa wakina Kamuntu, Kikeke, Czar, Zembwela wote kawapeleka Arusha.

Huyu kuna kitu anatafuta!
 
Makonda ni debe tupu. Kuwa mkuu wa mkoa kwa miezi 6 tu anaita press. Je. akimaliza mwaka si atatembea uchi kabisa?

Kwani kumuua mtu lazima uwepo eneo la tukio? Mbna waliotaka kumuua Bonge Tarimo wapo Brazil na tukio limefanyika wakiwa huko huko?

Nimeeeshangaa sana mkuu.

Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.

Huyu kuna kitu anatafuta
 
Huyu jamaa ana taka kuhamisha tukio la ajali Kariakoo.
 
Kama kuna watu wanapoteza muda kumsikiliza huyu jamaa, inabidi wapimwe akili, Makonda, ingekuwa nchi inafata weredi, meritocracy, huyu hakufaa hata kuwa kiranja shule ya secondary, huyu ni matokeo ya mifumo mibovu ya nchi hii,
Chalamila, Livingstone lusinde, Nape, Mchengelwa, Pindi Chana, ni vilaza wemgine kwenye serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…