Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Kwa hili, ni kwa wasio na akili pekee wanaweza kumsikiliza na kisha kumwamini mtu huyu ambaye facial expression yake, maneno yake ni purely yako under the influence ya ujanja ujanja wa kishetani tu..!!

Bora angenyamaza au angejibu kwa kifupi tu, "siyo kweli, sihusiki kwa lolote juu ya shabulio hilo"

Lakini maelezo yake mengi yasiyoeleweka kwa wenye akili, ndiyo yanayom - expose zaidi yeye na serikali yote na hususani jeshi la polisi kwa kushindwa kuchunguza tukio hilo baya kabisa kwa vusingizio vya kipuuzi na kijinga tu...

Dhambi kubwa ya serikali ya CCM na hususani Jeshi la Polisi ni kukataa kutenda wajibu wanapaswa kuutenda. Na mshahara wa dhambi ni MAUTI siku zote. Hakika watakufa tu hawa...!!

Na polisi hawachunguzi kwa sababu wahusika ndio hawa kina Makonda (ma-boss wao) ambao leo wako madarakani na wana abuse madaraka huyo kuyatumia kama koti la kujifunika ili kulinda dhambi na uhalifu huu...

Lakini siku watayapoteza tu madaraka haya na Mungu kuwapa watu wengine na ndiyo itakuwa mwisho wa hilo koti lao hilo la ulinzi (madaraka ya kiserikali) walilolivaa kulinda dhambi na uovu wao dhidi ya binadamu (evil against humanity)....

Nawahakikishia leo kwamba hawa watakuja kufia jela au watakuja kunyongwa hadharani hadi wafe kwa dhambi zao hizi...!!

Kama wana akili wangeacha janja janja yao hii na badala wawe wanyenyekevu na kujua kuwa yupo aliye mkuu kuliko wao na ndiye huyo aliyewapa madaraka hayo kwa kusudi maalumu....

Unyenyekevu unspaswa uambatane na toba kwa watubia makosa na dhambi zao hizi ili Mungu wa mbinguni awarehemu na kuwasamehe ili siku wakinyang'anywa madaraka hayo ya kiserikali, waweze kuishi kwa amani..

Mungu hadhihakiwi eti...
 
naunga mkono hoja ya kwamba muungwana yafaa apite hospitali husika Dodoma akacheki, yawezekana utaratibu wake wa fikra umeshake kidogo, na ndiyo maana haelewani kabisa na hata na viongozi waandamizi ndani ya chama chake🐒
Bashite anaelewana na nani ndani ya ccm!?
 
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.

Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.

Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.

"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"

"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"

"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
Mbona hakusema kwanini alipigwa marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani?
 
makonda Siku yako Yaja! futi 6 sio kazi kuchimba! kwa aibu itabidi uzikwe tu ununio maana huna kwenu na jina sio lako
 
Mkuu kwani kupanga shambulio ni lazima mastermind awepo eneo la tukio?
inawezekana Makonda amehusika au hajahusika. Hata kama alikuwepo Dodoma siku ya tukio haimaanishi kwamba alihusika. Inahitajika ushahidi mkubwa zaidi ya kuwepo Dodoma siku ya tukio ili kumtuhumu Makonda kwamba alihusika. Lakini kwasababu Makonda anasema hakuwepo Dodoma siku ya tukio, basi Lissu anapaswa kurudi kwa chanzo chake cha habari na akajipange upya.
 
Lissu atakuwa amepewa habari nyingi, na watu wengi. Katika habari hizo zipo habari za kweli, na nyingine sio za kweli. Utetezi wa Makonda una mashiko kwasababu ameeleza jambo mahsusi alilokuwa akifanya siku ambayo Lissu alishambuliwa. Kinachotakiwa kufanyika ni Lissu kueleza ana ushahidi gani wa Makonda kuwepo Dodoma siku ya tukio. Baada ya hapo umma utaweza kujua nani anasema ukweli. Swali linabaki palepale: nani ndani ya serikali alihusika na shambulizi dhidi ya Tundu Lissu?
Mbona taarifa zilishatolewa mahakamani London, unadhani TL anabahatisha?
 
Kwa hili, ni kwa wasio na akili pekee wanaweza kumsikiliza na kisha kumwamini mtu huyu ambaye facial expression yake, maneno yake ni purely yako under the influence ya ujanja ujanja wa kishetani tu..!!

Bora angenyamaza au angejibu kwa kifupi tu, "siyo kweli, sihusiki kwa lolote juu ya shabulio hilo"

Lakini maelezo yake mengi yasiyoeleweka kwa wenye akili, ndiyo yanayom - expose zaidi yeye na serikali yote na hususani jeshi la polisi kwa kushindwa kuchunguza tukio hilo baya kabisa kwa vusingizio vya kipuuzi na kijinga tu...

Dhambi kubwa ya serikali ya CCM na hususani Jeshi la Polisi ni kukataa kutenda wajibu wanapaswa kuutenda. Na mshahara wa dhambi ni MAUTI siku zote. Hakika watakufa tu hawa...!!

Na polisi hawachunguzi kwa sababu wahusika ndio hawa kina Makonda (ma-boss wao) ambao leo wako madarakani na wana abuse madaraka huyo kuyatumia kama koti la kujifunika ili kulinda dhambi na uhalifu huu...

Lakini siku watayapoteza tu madaraka haya na Mungu kuwapa watu wengine na ndiyo itakuwa mwisho wa hilo koti lao hilo la ulinzi (madaraka ya kiserikali) walilolivaa kulinda dhambi na uovu wao dhidi ya binadamu (evil against humanity)....

Nawahakikishia leo kwamba hawa watakuja kufia jela au watakuja kunyongwa hadharani hadi wafe kwa dhambi zao hizi...!!

Kama wana akili wangeacha janja janja yao hii na badala wawe wanyenyekevu na kujua kuwa yupo aliye mkuu kuliko wao na ndiye huyo aliyewapa madaraka hayo kwa kusudi maalumu....

Unyenyekevu unspaswa uambatane na toba kwa watubia makosa na dhambi zao hizi ili Mungu wa mbinguni awarehemu na kuwasamehe ili siku wakinyang'anywa madaraka hayo ya kiserikali, waweze kuishi kwa amani..

Mungu hadhihakiwi eti...
Utanipatia summary ya maandiko haya PM, right?
 
Yawezekana msongo kwa maoni yako yanayoheshimiwa. Lakini uko tayari kujibu maswali muhimu yote kwa niaba ya mkuu unayemtetea ? Kwa nini uling'oa CCTV camera zote ? Kwa nini mliondoa askari wote siku ya tukio. Kwa nini mlipiga marufuku watu kuvaa ti-shirts za sura yake Wala kumuombea,? Kwa nini mlimfuta ubunge eti ni mtoro wakati mnajua aliondoka Dodoma to Nairobi to Belgium akiwa hajitambui kwa risasi zenu,. Kwa nini zipo zaidi ya 10 na wengine wanaendelea ?
Hivi ulivyoandika ni viashiria kuwa kapigwa risasi na Makonda?
 
Huyu ,ni mjinga Bashite anahisi bado anabebwa na ccm kweli aliiba vyeti huyu uongo hadi kwenye kope ,kwanini asidai uchunguzi wa tukio la lisu badala yake anajichanganya mara staking kumujibu huku Amersham jibu shiit
 
inawezekana Makonda amehusika au hajahusika. Hata kama alikuwepo Dodoma siku ya tukio haimaanishi kwamba alihusika. Inahitajika ushahidi mkubwa zaidi ya kuwepo Dodoma siku ya tukio ili kumtuhumu Makonda kwamba alihusika. Lakini kwasababu Makonda anasema hakuwepo Dodoma siku ya tukio, basi Lissu anapaswa kurudi kwa chanzo chake cha habari na akajipange upya.
Mbona unafikiri kama mtoto mdogo vile ambaye hata chekechea hawajafika aisee...?

Ni huyu huyu muhusika kwa maagizo ya boss wake aliyekuwa Rais hayati John P. Magufuli. Wewe unafikiri kwanini polisi hawachunguzi tukio hili la kishenzi kabisa kuwahi kutokea Tanganyika tangu uhuru...????

Ushahidi ni mlolongo wa matukio yasiyo ya kiungwana wala kubeba utu wa binadamu aliyotendewa victim (Tundu Lissu) na serikali ya Rais Magufuli (mtuhumiwa namba 1) wa unyama huo...

Aidha wote tunajua kuwa huyu jamaa (Paul Makonda) ndiye alikuwa "toto pendwa" wa Mwendazake na ndiye alikuwa anatumiwa kwenye kazi chafu chafu za viongozi wa serikali akiwemo Rais Magufuli personally..

Hata baada ya kuwa nje ya mifumo wa kiserikali kwa miaka kadhaa, wamemrudisha ndani ya serikali ili kuisaidia CCM kwa mikakati michafu ili kubaki madarakani. Si kwamba Samia Suluhu Hassan hajui uovu na uchafu wa bwana huyu....

Lakini afanyeje sasa na asingependa CCM imfie mikononi mwake? Cha kufanya ni hata kulazimika kumtumia shetani mwenyewe, basi ni lazima amtumie tu....

Na ndipo Samia kwa kubanwa na "establishments" (wakora) wa CCM, akaambiwa mlete yule kijana atusaidie. Ndipo choice ikawa huyu bwana arudi kazini na ndivyo ilivyo na yote mabaya yanayotokea, hapa nchini sasa yako chini ya uratibu wa huyu bwana aliyeshiba damu za watu kiasi cha mshipa wa aibu na woga kumtoka kabisa...!

Sasa turudi kwenye tukio la Dodoma 2017:

Kwamba, siku hiyo TL anakula risasi Dodoma, huko DSM ktk Ikulu ya Magogoni ndani ya mkoa wa DSM na bwana huyu akiwa RC, kulikuwa na tukio la Rais kupokea taarifa/ripoti ya makinikia ya almasi ya Mwadui - Shinyanga na kamati ya kina Ossoro (kama sijakosea)...

Ilikuwa ni ajabu kuwa, "toto pendwa" huyu kutoonekana kwenye tukio hilo tena likifanyika ndani ya mkoa wake....!!

Loooh..!!, Kumbe jamaa alikuwa Dodoma akiongoza kikosi cha mauaji ya Tundu Lissu bwana😕😕😕!!!!

Baada ya hapo, sasa angalia mlolongo wa matukio ya ushahidi wa kimazingira kuonesha uhusika wake na Rais wake (Mwendazake Magufuli...)👇🏻👇🏻👇🏻

1. Kauli za Hayati Rais John P. Magufuli mwenyewe kuwa "....Watu wote wanaoipinga serikali wakati ikiwa ktk vita ya kiuchumi, nyie askari mnajua huwa wanafanywa nini. Obviously, hawastahili kuishi...." Dakika chache baada ya kauli siku hiyo tarehe 7/9/2017, Dodoma eneo la AREA D, makazi ya viongozi, jamaa akamwagiwa risasi zaidi 37 akiwa ndani ya gari lake mchana wa saa 7 kweupe kabisa na majambazi hayo kuondoka chini ya ulinzi mkali hadi DSM....!!!!!

2. Eneo hilo la makazi ya viongozi ambalo huwa na ulinzi 7days & 24hrs mwaka mzima, siku hiyo na muda wa tukio hilo hakukuwa na mlinzi hata mmoja kwenye mageti yote..!

Swali rahisi tu ni hili: Hivi ni nani mwenye nguvu za kimsmlaka na uwezo wa kuondoa walinzi (askari polisi wote) kwenye lindo lao siku hiyo..???? Akili kichwani mwako...

3. Jengo - Apartment aliyokuwa akiishi Tundu Lissu alikuwa akiishi pia Waziri wa Nishati na Madini by then Meadard Kalemani na Waziri wa Afya (by then) Dr Haji Mponda. Aidha apartment hiyo ilikuwa na CCTV Cameras. Baada ya tukio, polisi walizichukua na mpaka leo polisi wanazo na hawataki kusema waliona nini...!!

4. Kunyimwa stahili na haki zake za matibabu huku akiwa mtumishi wa umma (mbunge....)

5. Kuvuliwa ubunge wake kwa sababu eti ni "mtoro kazini, hajulikani aliko..."

6. Job Ndugai (Spika wa Bunge by then) aliamuriwa na Rais Magufuli kuwa, akifa hata asiingizwe kwenye jengo la Bunge kuagwa na wenzake na badala yake maiti usiku kwa usiku ipelekwe kijijini kwao Singida na kuzikwa. ..

Duuh, hiyo ☝🏻☝🏻☝🏻 ni chuki na unyama uliopitiliza viwango vya shetani mwenyewe...!!

7. Wananchi kuzuiliwa na kupigwa marufuku na serikali ya CCM chini ya Hayati John P. Magufuli ku - sympathize na victim, familia yake, ndugu zake, wanachama na chama chake, mashabiki na wapenzi wake (kina sisi) hadharani kuvaa t-shirt za "GET WELL TUNDU LISSU", kufanya maombi kwenye viwanja vya wazi, kuchangia fedha za matibabu nk. Waliofanya haya, basi ilikuwa ni kwa kificho sana....

8. Wabunge wa CCM kupigwa marufuku na serikali na chama chao kwenda kumuona na kumsalimu hospitalini Nairobi na Ubelgiji. Waliofanikiwa kwenda ni kwa kuwa walikuwa na roho ngumu tu na badae baadhi walitoka CCM e.g Lazaro Nyalandu...

9 Funga kazi ni DRAMA za serikali kupitia Jeshi la Polisi, kukataa kutenda wajibu wao wa kuchunguza tukio hili la kihalifu (political attempted assassination) kwa vusingizio vya mara dereva kakimbia, mara Tundu Lissu mwenye kakimbia na hataki kutoa ushirikiano na ujinga mwingine mwingi kuanzia polisi wenyewe, Rais, mawaziri, bunge na,mamlaka zingine...

##Mpaka hapo na kwa circumstantial evidences hizi tunakosaje kuwajua wahusika? Na serikali ni kwanini ilikuwa inataka kumuua Tundu Lissu kijinga na kishamba kiasi hiki..??
 
Back
Top Bottom