ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Tusubiri mahakama ya London ithibitishe nani kichaa kati ya makonda na lisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie kweli ni Viongozi wa uma gentleman 🐒kwani mkuu wa mkoa wa Arusha, kashauri muungwana akacheki nini hospitali Dodoma gentleman 🐒
Bashite anaelewana na nani ndani ya ccm!?naunga mkono hoja ya kwamba muungwana yafaa apite hospitali husika Dodoma akacheki, yawezekana utaratibu wake wa fikra umeshake kidogo, na ndiyo maana haelewani kabisa na hata na viongozi waandamizi ndani ya chama chake🐒
Msongo wa Bashite kudhulumiwa jengo na GSM ulishaisha!?Mtu akupe tuhuma nzito kama hzo ukae kimya kwamba ndo uungwana.Lissu kama ana ushahidi auweke hadharani na wengine tumuamini tofauti na hapo namuona kama mtu mwenye msongo.
Mbona hakusema kwanini alipigwa marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani?Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
Kwa hiyo wanahabari walioko huko Arusha hawatoshi!?Nimewaza kama yuko mbioni kutafuta visa ya Marekani ndo maana anajisafisha.
Yaani ametoa wakina Kamuntu, Kikeke, Czar, Zembwela wote kawapeleka Arusha.
Huyu kuna kitu anatafuta!
makonda Siku yako Yaja! futi 6 sio kazi kuchimba! kwa aibu itabidi uzikwe tu ununio maana huna kwenu na jina sio lakoBaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
inawezekana Makonda amehusika au hajahusika. Hata kama alikuwepo Dodoma siku ya tukio haimaanishi kwamba alihusika. Inahitajika ushahidi mkubwa zaidi ya kuwepo Dodoma siku ya tukio ili kumtuhumu Makonda kwamba alihusika. Lakini kwasababu Makonda anasema hakuwepo Dodoma siku ya tukio, basi Lissu anapaswa kurudi kwa chanzo chake cha habari na akajipange upya.Mkuu kwani kupanga shambulio ni lazima mastermind awepo eneo la tukio?
Mbona taarifa zilishatolewa mahakamani London, unadhani TL anabahatisha?Lissu atakuwa amepewa habari nyingi, na watu wengi. Katika habari hizo zipo habari za kweli, na nyingine sio za kweli. Utetezi wa Makonda una mashiko kwasababu ameeleza jambo mahsusi alilokuwa akifanya siku ambayo Lissu alishambuliwa. Kinachotakiwa kufanyika ni Lissu kueleza ana ushahidi gani wa Makonda kuwepo Dodoma siku ya tukio. Baada ya hapo umma utaweza kujua nani anasema ukweli. Swali linabaki palepale: nani ndani ya serikali alihusika na shambulizi dhidi ya Tundu Lissu?
Mbona taarifa zilishatolewa mahakamani London, unadhani TL anabahatisha?
Kwa hiyo wewe ulitaka swali aliloulizwa kuhusu Lissu asijibu?Angekaa kimya, analofanya sasa ninkuchokonoa hasira za watu waliokwisha sahau, jambo ambalo litaripua chuki dhidi yake mara kadhaa zaidi!!
Utanipatia summary ya maandiko haya PM, right?Kwa hili, ni kwa wasio na akili pekee wanaweza kumsikiliza na kisha kumwamini mtu huyu ambaye facial expression yake, maneno yake ni purely yako under the influence ya ujanja ujanja wa kishetani tu..!!
Bora angenyamaza au angejibu kwa kifupi tu, "siyo kweli, sihusiki kwa lolote juu ya shabulio hilo"
Lakini maelezo yake mengi yasiyoeleweka kwa wenye akili, ndiyo yanayom - expose zaidi yeye na serikali yote na hususani jeshi la polisi kwa kushindwa kuchunguza tukio hilo baya kabisa kwa vusingizio vya kipuuzi na kijinga tu...
Dhambi kubwa ya serikali ya CCM na hususani Jeshi la Polisi ni kukataa kutenda wajibu wanapaswa kuutenda. Na mshahara wa dhambi ni MAUTI siku zote. Hakika watakufa tu hawa...!!
Na polisi hawachunguzi kwa sababu wahusika ndio hawa kina Makonda (ma-boss wao) ambao leo wako madarakani na wana abuse madaraka huyo kuyatumia kama koti la kujifunika ili kulinda dhambi na uhalifu huu...
Lakini siku watayapoteza tu madaraka haya na Mungu kuwapa watu wengine na ndiyo itakuwa mwisho wa hilo koti lao hilo la ulinzi (madaraka ya kiserikali) walilolivaa kulinda dhambi na uovu wao dhidi ya binadamu (evil against humanity)....
Nawahakikishia leo kwamba hawa watakuja kufia jela au watakuja kunyongwa hadharani hadi wafe kwa dhambi zao hizi...!!
Kama wana akili wangeacha janja janja yao hii na badala wawe wanyenyekevu na kujua kuwa yupo aliye mkuu kuliko wao na ndiye huyo aliyewapa madaraka hayo kwa kusudi maalumu....
Unyenyekevu unspaswa uambatane na toba kwa watubia makosa na dhambi zao hizi ili Mungu wa mbinguni awarehemu na kuwasamehe ili siku wakinyang'anywa madaraka hayo ya kiserikali, waweze kuishi kwa amani..
Mungu hadhihakiwi eti...
Hivi ulivyoandika ni viashiria kuwa kapigwa risasi na Makonda?Yawezekana msongo kwa maoni yako yanayoheshimiwa. Lakini uko tayari kujibu maswali muhimu yote kwa niaba ya mkuu unayemtetea ? Kwa nini uling'oa CCTV camera zote ? Kwa nini mliondoa askari wote siku ya tukio. Kwa nini mlipiga marufuku watu kuvaa ti-shirts za sura yake Wala kumuombea,? Kwa nini mlimfuta ubunge eti ni mtoro wakati mnajua aliondoka Dodoma to Nairobi to Belgium akiwa hajitambui kwa risasi zenu,. Kwa nini zipo zaidi ya 10 na wengine wanaendelea ?
Mbona unafikiri kama mtoto mdogo vile ambaye hata chekechea hawajafika aisee...?inawezekana Makonda amehusika au hajahusika. Hata kama alikuwepo Dodoma siku ya tukio haimaanishi kwamba alihusika. Inahitajika ushahidi mkubwa zaidi ya kuwepo Dodoma siku ya tukio ili kumtuhumu Makonda kwamba alihusika. Lakini kwasababu Makonda anasema hakuwepo Dodoma siku ya tukio, basi Lissu anapaswa kurudi kwa chanzo chake cha habari na akajipange upya.