Kada Mzalendo
Senior Member
- Oct 9, 2024
- 142
- 97
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee tu kufukua kifusi kuokoa ndugu zetu wakati mama wa family amesafiri kuwahi vikoba!Na wewe pia ukapimwe akili na mkojo 😀
Eh wanataka kumdhibiti kwa mara nyingine tena 😂 sasa safari hii c itakuwa noma zaidi tofauti na ile ya Dodoma 😎Serikali itupie jicho ufipa kabla hawajatoana macho
Sasa wakati huu wa baridi unasoma gazeti la " Fukuto"🤔Serikali itupie jicho ufipa kabla hawajatoana macho
Trump hanaga utani. Tusubiri.Hv mpaka sasa hy ban imemzuia kufanya nn kwenye maisha yake?
MlalamikajiNani anayetakiwa aende mahakamani?
Save your question.Hv mpaka sasa hy ban imemzuia kufanya nn kwenye maisha yake?
suala la Tundu Lissu haliwezi kuamuliwa ktk mahakama za Tanzania. Ushahidi unatakiwa uwekwe hadharani wananchi tutaamua nani anasema ukweli.Mahakama pekee ndiyo itakayothibitisha.
Pompeo alikuwa Waziri wa mambo ya nje wa Donald Trump ambaye tuna habari anapinga ushoga.Shoga pompeo hawezi patana na Makonda
Video ya tukio la Makonda siku aliyoshambuliwa Lissu iko mahali popote? Je, haiwezekani Makonda alikuwepo Dsm, halafu akapanda ndege kwenda Dodoma kuwahi shambulizi la Lissu?Huna akili maana haujui report ya makinikia ilipokelewa tarehe ngapi na Tundu Lissu alishambuliwa tarehe ngapi
Kipindi hicho alikuwa na bifu na marehemu ruge mutahaba.Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
Hapa amepiga “fix” yaan magu awepo ikulu na kupoea maripot yeye awe anamipango mingine.Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
suala la Tundu Lissu haliwezi kuamuliwa ktk mahakama za Tanzania. Ushahidi unatakiwa uwekwe hadharani wananchi tutaamua
Utawekwa hadharani. Ni suala la muda tu Mkuu.suala la Tundu Lissu haliwezi kuamuliwa ktk mahakama za Tanzania. Ushahidi unatakiwa uwekwe hadharani wananchi tutaamua nani anasema ukweli.