Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Wao ndivyo ilivyo lkn Konda Boy alijitetea hivyo kuwa alipinga Ushoga. Unaweza enda YouTube ukamsikiliza mwenyewe.Wao walisema sababu ni kupoteza haki za watu kuishi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ndivyo ilivyo lkn Konda Boy alijitetea hivyo kuwa alipinga Ushoga. Unaweza enda YouTube ukamsikiliza mwenyewe.Wao walisema sababu ni kupoteza haki za watu kuishi!
tatizo la tundu lisu ni kukurupuka angalia alivyokurupuka kwenye issue ya TIGOHivi Makonda anafikiria kila mtu ni mjinga. Akae akijua wazi kwamba huenda ikawa TAL kajitokeza hadharani sababu anao ushahidi tosha wa tukio hilo. Labda Ushahidi huo utakuwa unamlenga mtuhumiwa bwana Makonda moja kwa moja. Huenda tutaona nani kati yao atakuwa mgonjwa wa akili.
Baadhi ya maswali alipewa mapema ili atafute majibu.Waandishi wanampiga spana kali hadi anashindwa kujibu sijui kawakosea nini wanahabari
Kesi imeisha?? Wewe ndo unayekurupuka.tatizo la tundu lisu ni kukurupuka angalia alivyokurupuka kwenye issue ya TIGO
Anaweza kuonekana mtu yu uchi tena akiwa jalalani na kula uchafu. Halafu, ghafla akawashambulia wanaopita kando akiwaambia wao ni vichaa.tusubirie viungani London watasemaje
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
Chizi mmoja anaitwa chiziIweee! Kumekucha, kumbe uchaguzi ujao tuwe makini, nchi inaweza kuongozwa na chizi
Wewe una njaa upewe 10 hutapiga makofi kweli???BASHITE anafikiri kuwa Watanzania ni Wajinga na Wasahaulifu. Yaani kama kuna wa kwenda Mirembe basi ilitakuwa ni yeye. Nimeshangaa watu kumpigia Makofi kwa ujinga na uongo ulioutoa pale jukwaani.
Tukio la jaribio la kumwua Tundu Antipas Lissu lilikuwa tarehe 7 mwezi Septemba 2017.Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"



Kabisa hawezi Thubutu rafiki yangu GentaThubutu.............!!!
Akae kimya vipi wakati hilo swali limeulizwa na mwanahabari live kwenye public.Bwana mdogo Makonda ilikuwa ni heri kukaa kimya kuliko kufanya hicho unachofanya, kwa sasa tunapambana kuokoa watanganyika wenzetu walioangukiwa na ghorofa Kariakoo
Naona umeamua kumkaanga bashite.Tukio la jaribio la kumwua Tundu Antipas Lissu lilikuwa tarehe 7 mwezi Septemba 2017.
Kampeni ya ya afya na matibabu ilikuwa tarehe 6-10 Septemba 2017
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda anawatangazia Wananchi wote wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kwenye Kampeni ya Upimaji wa Afya Bure kuanzia siku ya Jumatano ya tarehe 06 hadi10 Septemba, 2017 kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Lengo la Kampeni hii ni kutoa huduma ya upimaji wa afya bure kwa wananchi wa Jiji la Dar es Salaam na kuwahamasisha wananchi kuwa na utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara ili waweze kuendesha maisha yao kwa gharama nafuu zaidi na kuwaepusha na magonjwa ambayo yangeweza kutibika iwapo wangepata taarifa mapema.
Makonda aja na Upimaji wa Afya Bure kwa Wananchi Mkoa wa Dar es Salaam wenye matatizo ya macho
MICHUZI BLOG at Friday, October 06, 2017
Mwendelezo wa zoezi la Upimaji wa Afya Bure kwa Wananchi Mkoa wa Dar es Salaam wenye Matatizo ya Macho linaendelea na sasa ni Huduma ya Matibabu ya Macho kwa Wananchi waliobainika kuwa na Matatizo ya Macho kwenye Kampeni ya RC Makonda ya Upimaji wa Afya Bure.
Zoezi hilo ni kufuatia ahadi iliyotolewa na *Jumuiya ya Waislamu wa Dhehebu la Khoja Shia Ithnasheri Jamaat K.S.I.J iliyojitolea kumuunga Mkono RC Makonda kwa kujitolea Matibabu ya wagonjwa watakaobainika kuwa na matatizo ya Macho na Mtoto wa jicho kwenye Kampeni ya Upimaji Afya Bure iliyofanyika Mnazi mmoja.
Zoezi hilo linasimamiwa na *Madaktari bingwa wa Macho kutoka Hospital ya Muhimbili, Hindumandal na Ebrahim Haji.
Kutokana na uhitaji kuwa mkubwa RC Makonda ameomba Taasisi hiyo kupima na kufanya matibabu kwa Wagonjwa 1,000 badala ya 500 iliyoahidi ambapo wameridhia ombi hilo.
Amesema kuwa kwa kawaida *Garama za upasuaji wa Macho ni kati ya Shillingi 900,000 hadi 1,000,000 pamoja na Miwani hivyo kwa Watu 1,000 ni sawa na Kiasi cha Shilling Billion Moja lakini kupitia wadau Wagonjwa hao watapatiwa matibabu na Miwani Bure ili waone Matunda ya Serikali ya awamu ya Tano kupitia RC Makonda.
RC Makonda Anawahimiza Wananchi wenye Matatizo ya Macho kufika kwenye kambi ya matibabu ya Macho iliyopo mtaa wa Hindragand Posta kila Jumamosi na Jumapili kwa kipindi cha Miezi Miwili ili wapatiwe Vipimo, Matibabu na Miwani Bure kwa wenye uhitaji.
Ameshukuru wadau hao kwa kumuunga mkono na kueleza kuwa lengo lake ni kuwawezesha wananchi wasioweza kumudu gharama za matibabu kupata huduma.*
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiongea na baadhi ya wananchi waliojitokeza katika zoezi la upimaji wa afya bure kwa Wananchi Mkoa wa Dar es Salaam wenye matatizo ya macho
Madaktari bingwa wa macho wakimhudumia mwananchi aliyejitokeza katika zoezi la upimaji wa afya bure kwa Wananchi Mkoa wa Dar es Salaam wenye matatizo ya macho
Madaktari bingwa wa macho wakimhudumia mwananchi aliyejitokeza katika zoezi la upimaji wa afya bure kwa Wananchi Mkoa wa Dar es Salaam wenye matatizo ya macho.
Ufafanuzi please....................
The onus to prove an alibi lies on the defendant. The duty to prove that the defendant was at the place the criminal act occurred lies on the prosecutor.
1. Je, PC Makonda alihudhuria huo mkutano wa afya tarehe 6 Septemba 2017 kisha tarehe 7 Septemba akasafiri kwenda Dodoma na kurejea Dar Es Salaam, tarehe 8 Septemba 2017? Uthibitisho unahitajika
2. Je, PC Makonda alienda Dodoma tarehe 6 Septemba 2017 na kusimamia kile kinachodaiwa jaribio la mauaji tarehe 7 Septemba 2017? Uthibitisho unahitajika
Kwa mtu kama Lissu angekuwa na ushahidi nadhani pangechimbika, ila sasa hivi hana uhakika ni nani alihusika, amachofanya ni kukisiakisia kwa wale aliowahi kutofautiana nao.Mtu akupe tuhuma nzito kama hzo ukae kimya kwamba ndo uungwana.Lissu kama ana ushahidi auweke hadharani na wengine tumuamini tofauti na hapo namuona kama mtu mwenye msongo.