Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?

Magufuli, na Makonda wote hawafai.
 
Hana lolote...

Sio mwanasiasa, sio msomi, sio visionist, he is just an opportunistic political lightweight...

Huwa simshangai Makonda bali huwa nawashangaa wanao ona jamaa ni intelligent...
Siku hizi usomi huu wa waliotusomesha wazungu ni Upuuzi tupu. Mtu ni Pof lkn anaingia mkataba wa kipuuzi na mzungu usomi wake ni sawa na chief Mangungo tu nchi inahitaji Visionilist na Mtendaji basi ndio maana ulimwengu wa leo sio kuangalia IQ bali EQ na SQ basi
 
Kwamba hujasoma maneno yote niliyoyaandika au umesoma kwa kuruka kwamba umeishia kwenye sio msomi, lakini hukufika kwenye sio visionist?
 
Hana lolote...

Sio mwanasiasa, sio msomi, sio visionist, he is just an opportunistic political lightweight...

Huwa simshangai Makonda bali huwa nawashangaa wanao ona jamaa ni intelligent...

Na wewe pia wanakushangaa kama unavyowashangaa
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
tatisho shule
 
Back
Top Bottom