Abdullah bin Umar (r.a) anasimulia kuwa amemskikia Mtume (s.a.w) akisema �wakati mmoja wenu atakapokufa, msimcheleweshe, bali mzikeni haraka haraka.Wewe kila kitu unakiangalia katika miwani ya uislamu.Kazi kwelikweli.Wewe ndo unasema una PhD wewe?Labda PhD ya uharo!
ZIRO MINDEDKatibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.
Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.
Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.
Credit - CloudsTv
Siamini sana kua kulikua na rushwa kwasababu sina ushahidi ila najua jambo moja kua hawa jamaa huwa hawashaurikiKabisa, ni vile tu wanasiasa huwa wanajitoa ufahamu. Labda kwakuwa alifaidika yeye binafsi na rushwa aliyopewa Ili ampe hicho kiti.
Ulitaka tufanyeje boss, au ulitaka tufanye kwa hisia zako?
Wewe unaamini kweli vijembe vya kijiweni anavyotoa zero brain vinastahili kujibiwa na watu wazima? Mbona hoja alizotoa Mzee Kinana Lissu alizijibu tena kifupi na zikamletea shida mzee Kinana mbele ya wenzake hadi wakaingilia interview ya Wasafi isifanyike. Watu kaliba ya Lissu na Mbowe kujibu upuuzi wa makonda ni kumpa hadhi asiyostahili. Huyu tunamalizana naye huku huku kitaa.
Ndiyo maana yake hapa mjini JF“Kitaa nyuma ya Keyboard?
wanafunzi wa siasa wasiofundishika watafyumu sana 🐒Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.
Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.
Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.
Credit - CloudsTv
Kweli ni kipimo kikubwa kwao. Huwezi kuendelea na harakati za maandamano yasiyo na impact yanayoratibiwa na viongozi wa Kanda iitwayo Victoria lakini wao wakiwa wanakula Bata marekani huko ZMGOMBEA URAISI WAO AKIWA AMEFARIKI?
Sikuna matanga kaka auMuislam yeye msiba kwake siku 1 baada ya kuzika kila kitu Kama kawaida
Kidogo afe leo sijui umempa niniNimempa yako kasema inatosha.
Lowassa dini gani?Abdullah bin Umar (r.a) anasimulia kuwa amemskikia Mtume (s.a.w) akisema �wakati mmoja wenu atakapokufa, msimcheleweshe, bali mzikeni haraka haraka.
KUWA NA PHD KUSIKUFANYE MTU UKAIDHARAU DINI YAKO.
Kawaida kivipi?Muislam yeye msiba kwake siku 1 baada ya kuzika kila kitu Kama kawaida
Maiti ikishafukiwa ndugu jamaa wanaenda shughulikini kwao. Akifa saa 12 asubuhi saa 4 asubuji kachelewa saa 7 mchana anaenda kuzikwaKawaida kivipi?
Lol Magu tu hawakufanya senbuse Aliekuwa waziri mkuu thubutuuuu!!
Ndugu zako wote waliokufa mukiwazika kwa mfumo huo au unaongea kwa mujibu wa dini yenu?Maiti ikishafukiwa ndugu jamaa wanaenda shughulikini kwao. Akifa saa 12 asubuhi saa 4 asubuji kachelewa saa 7 mchana anaenda kuzikwa
Yaan yuko kama wamama wa uswazi.Jamaa huwa hana ajenda siku zote...