Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Wewe kila kitu unakiangalia katika miwani ya uislamu.Kazi kwelikweli.Wewe ndo unasema una PhD wewe?Labda PhD ya uharo!
Abdullah bin Umar (r.a) anasimulia kuwa amemskikia Mtume (s.a.w) akisema �wakati mmoja wenu atakapokufa, msimcheleweshe, bali mzikeni haraka haraka.
KUWA NA PHD KUSIKUFANYE MTU UKAIDHARAU DINI YAKO.
 
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.

Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.

Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.

Credit - CloudsTv
ZIRO MINDED
 
Kabisa, ni vile tu wanasiasa huwa wanajitoa ufahamu. Labda kwakuwa alifaidika yeye binafsi na rushwa aliyopewa Ili ampe hicho kiti.
Siamini sana kua kulikua na rushwa kwasababu sina ushahidi ila najua jambo moja kua hawa jamaa huwa hawashauriki
 
Wewe unaamini kweli vijembe vya kijiweni anavyotoa zero brain vinastahili kujibiwa na watu wazima? Mbona hoja alizotoa Mzee Kinana Lissu alizijibu tena kifupi na zikamletea shida mzee Kinana mbele ya wenzake hadi wakaingilia interview ya Wasafi isifanyike. Watu kaliba ya Lissu na Mbowe kujibu upuuzi wa makonda ni kumpa hadhi asiyostahili. Huyu tunamalizana naye huku huku kitaa.

“Kitaa nyuma ya Keyboard?
 
Kweli ni kipimo kikubwa kwao. Huwezi kuendelea na harakati za maandamano yasiyo na impact yanayoratibiwa na viongozi wa Kanda iitwayo Victoria lakini wao wakiwa wanakula Bata marekani huko ZMGOMBEA URAISI WAO AKIWA AMEFARIKI?
 
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.

Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.

Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.

Credit - CloudsTv
wanafunzi wa siasa wasiofundishika watafyumu sana 🐒
 
Unamuenzi aliyekukana?
Wakazike lakini sio kumuenzi...hakuna la kumuenzia
 
Kweli ni kipimo kikubwa kwao. Huwezi kuendelea na harakati za maandamano yasiyo na impact yanayoratibiwa na viongozi wa Kanda iitwayo Victoria lakini wao wakiwa wanakula Bata marekani huko ZMGOMBEA URAISI WAO AKIWA AMEFARIKI?

Anazikwa tarehe 17, maandamano ni tarehe 15, watu waache mambo ya kusaka mabadiliko wabaki wanaomboleza msiba wa mgombea urais aliyehama kwenye chama chao!
 
Maiti ikishafukiwa ndugu jamaa wanaenda shughulikini kwao. Akifa saa 12 asubuhi saa 4 asubuji kachelewa saa 7 mchana anaenda kuzikwa
Ndugu zako wote waliokufa mukiwazika kwa mfumo huo au unaongea kwa mujibu wa dini yenu?
 
Back
Top Bottom