Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda ni jasusi
hakamatiki
Yupo anawachora tu
😂😂😂mako....ndaaa wakazie
Ipo haja sasa Watanzania tuelimishwe kuhusu neno Jasusi kwani nimegundua linatumika ndivyo sivyo hadi kwa Wapumbavu na Matahaira nao wanahusishwa nalo.
 
Aseme huo izo lakini arudishe kiwanja cha watu mbona simple tuu
 
Kumbe mkataba anao? Kwa jio GSM ni matapeli
 
Regent Estate ni eneo ghali sana....kuanzia mwaka 2000 mwenye kumiliki kiwanja eneo hilo ni lazima atakuwa na kipato kikubwa sana....

Over
 
Makonda amekuwa tishio sijui kwanini

Wengi wanamsema vibaya wakiwa uvunguni mwa kitanda
Picha inaanza subiri Kuna siku utashindwa kuongea haya. Unajifanya as if hazikuwepo enzi zake anatanua matako yake .

Subiri Yani hii muvi imeanzishwa mbali sana aisee. Najua sukumagang mnamtetea sababu alikuwa mmoja wa makerubi wa mungu wenu aliyekufa na ameoza.

Tulieni mnacheza na watu wenye akili sana sio wachunga ng'ombe mliokuja mjini mngetulia muusome mji Ila mmekosea sana hatutakosea kuweka mchunga mbuzi maishani.
 
Regent Estate ni eneo ghali sana....kuanzia mwaka 2000 mwenye kumiliki kiwanja eneo hilo ni lazima atakuwa na kipato kikubwa sana....

Over
Yani kutoka kolomije uje kumiliki kiwanja regent estate anakoishi wakubwa aisee huyu dogo anatania sana.

Baba zetu wastaafu wameishia kupata makumbusho na mikocheni yeye amepataje?

Kwanza tunajua ushiriki wake kwa GSM pamoja nao sio wasafi Ila alishiriki sana dhambi zao leo hatuhusiki kumuonea huruma yeyote.

Alipe Mali au agawe tako
 
Usisahau ulipigwa pini usikanyage ulaya na africa hakuna chaka utajificha watakuja wakuchomoe.
 
Huyu akamatwe na kunyongwa tu, hana faida na nchi....aliumiza sana wananchi.
 
hapa watu wanamsema makonda utadhani gsm msafi. yaan watz ukiwaibia huku ukiwalambs miguu wao ndio wanafurahi
 
Nashangaa watu wa.vyombo vya dola kwan mpaka sasa wasimhoji.Paulo ili aseme ukweli ...
 
Na hamu ya kusikia yanayofanywa hapo bandarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…