Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

...ulipataje Mali hiyo? Tume ya Maadili wanalijua?
hilo ni jambo lingine, labda lianzishiwe uzi wake. Mtumishi wa umma anaweza akamiliki mali pia, na anaweza akawa mfanyabiashara pia
 
Relax Bashite kisha peleka vielelezo. Ile hati yenye mhuli chini ya picha fungia vitumbua tu
 
hilo ni jambo lingine, labda lianzishiwe uzi wake. Mtumishi wa umma anaweza akamiliki mali pia, na anaweza akawa mfanyabiashara pia
sasa bashite mwaka 2013 alikuwa na biashara gani kuweza kununua nyumba mikocheni? tuwe wakweli. na yeye si aje na vielelezo la sivyo tutajua mwanaume mwenzie alimjengea nyumba.
 
Kifo cha Magufuli ilikuwa ni kifo cha CCM Pia, hili ni swala muda.

Hawa matajiri wanaowanufaisha wanasiasa kwa faida zao kibiashara wanakaribia kuipeleka nchi kwenye civil unrest or civil war
 
Waache wapambane wenyewe haituhusu, makonda atakula alipopeleka mboga asitupigie kelele kabisaa
 
Sukuma gang haitokaa itawale tena.. walipata nafasi wakaiharibu nchi. Chama kimerudi kwa wenyewe
 
Taratibu kiongozi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachosema Makonda ni kweli. Polisi hawajaanza leo kutumika vibaya,hata waliweza kumsindikiza RC mmoja kuingia kwenye kituo cha tv/redio na kufanya fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…