Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Apambane na hali yake,kwanza apokee hati yake ya kuitwa mahakamani.Hyu jamaa kichwa maji kabisa.
 
Nd
Alitoa kwa misingi ipi? Hii ni sawa na utume pesa kulipa deni halafu udai kureverse muamala.

UCHUNGUZI UFANYIKE HAKI IONEKANE
Ndio maana wanataka kwenda mahakamani ili ukweli ujulikane
 
Takukuru mnsubiri nini ??? Tayari mtu ameweka wazi kuwa hatosema uozo wa mtu kwa sababu ya hongo ya Nyumba naomba wote wachunguzwe hii ni rushwa

Hamduni unatuangusha unasubiri nini kwenye hili?
Takukora wanasubiri mpaka rais atoe maagizo
 
Kama kawaida movie tu hiyo...

Nyakonda kwa bi tozo.ni zaidi ya jembe lake. .. .. na Ni mwenzie khasaa...na GSM ..yupo karibu pia.. ...

Hapo Ni mwendo wa movie zetu zile!
 
Makonda ni mpuuzi,hiyo "Blackmail"yako ni ya kitoto sana.
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...

Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipi
FB_IMG_1647123378554.jpg
 
#Michongo_hailipiView attachment 2148487

Aisee!

Kama majina na vyeti vyake!
 
Kama ulitoa kwa moyo kwanini udai?
Makonda mpumbavu sana...

Hivi hadi sasa hafahamu kilichotokea ni sawa na mademu wa mjini wanaohongwa magari bila kadi lakini wakishaisha kutumika, hunyang'anywa na hawana cha kufanya kwa sababu gari ni kadi?!

Very stupid...
 
hapa watu wanamsema makonda utadhani gsm msafi. yaan watz ukiwaibia huku ukiwalambs miguu wao ndio wanafurahi
Mkuu kwani wewe ni mtakatifu? Mbona hata wale wanawake wawili MAKAHABA waliokuwa wanamgombea mtoto mbele ya Mfalme Sulemani MMOJA WAO alikuwa ana HAKI? (Soma 1 Wafalme 3) Kuwa na makosa kwenye jambo A hakukufanyi usiwe na haki kwenye jambo B.
 
Kwa jinsi hii issue inavyoendelea kati ya Makonda na GSM ni wazi kabisa kwamba ukiona mbwa anabweka mtaani ujue yuko karibu na kwao au mwenye huyo mbwa yuko karibu. Huyu bwana hawezi toka mafichoni na kuanza kusema ovyo. Tutarajie mengi kuibuka.
 
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...

Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipiView attachment 2148487
pachah1 (1).png
200 (15).gif
hazulumiwi mtu hapa kwa FAKE Documents Makonda kaukalia kwi kwi kwi.
 
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali yake.

Mzozo wa kiwanja hicho umeibuka hivi karibuni, ambapo Makonda ameonekana katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii akisisitiza kuwa eneo hilo ni lake.
Ukitazama hizo picha mbili sura ya tapeli haijifichi
 
Makonda mbona unabwekea mbali?

Umetakiwa kupeleka vielelezo na sio kutaja majina ya watu walio nyuma au mbele...😂
Alitakiwa kuitisha waandishi ha habari kama alivyofanya mwenzake siyo kusemea whatsapp
 
GSM nyuma yake yupo mzee wa Msoga na mwanawe ambae ni naibu waziri wa Ardhi na kwa karibu yupo Mama.

Makonda kashauvagaa mziki wa tajiri, nyani lazima ateme bungo hapo.

Mwaka 2013 ,makonda alikuwa na kazi gani iliyokuwa ikimuingizia pesa za kuweza kununua kiwanja Ada estate? Hivi anajua bei za viwanja/nyumba (zilizokuwa zikiuzwa) hapo Ada estate?
 
Back
Top Bottom