Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 597
- 1,374
Apambane na hali yake,kwanza apokee hati yake ya kuitwa mahakamani.Hyu jamaa kichwa maji kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana wanataka kwenda mahakamani ili ukweli ujulikaneAlitoa kwa misingi ipi? Hii ni sawa na utume pesa kulipa deni halafu udai kureverse muamala.
UCHUNGUZI UFANYIKE HAKI IONEKANE
Takukora wanasubiri mpaka rais atoe maagizoTakukuru mnsubiri nini ??? Tayari mtu ameweka wazi kuwa hatosema uozo wa mtu kwa sababu ya hongo ya Nyumba naomba wote wachunguzwe hii ni rushwa
Hamduni unatuangusha unasubiri nini kwenye hili?
Huyu akamatwe na kunyongwa tu, hana faida na nchi....aliumiza sana wananchi.
Sio kwamba alipewa na mwendazake?😅Mali alizoficha bila kufanya transfer zote zitaanikwa,jinsi alivyozipata, na aliowadhurumu watarudishiwa, bado yale maviwanja ya dodoma
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!Makonda ni mpuuzi,hiyo "Blackmail"yako ni ya kitoto sana.
gsm amesema hajawahi kumuuzia na wakati inaposemekana aliingia mkataba, gsm hajawahi hata kumwona.Kumbe mkataba anao? Kwa jio GSM ni matapeli
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...
Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipiView attachment 2148487
Makonda mpumbavu sana...
Hivi hadi sasa hafahamu kilichotokea ni sawa na mademu wa mjini wanaohongwa magari bila kadi lakini wakishaisha kutumika, hunyang'anywa na hawana cha kufanya kwa sababu gari ni kadi?!
Very stupid...
Mkuu kwani wewe ni mtakatifu? Mbona hata wale wanawake wawili MAKAHABA waliokuwa wanamgombea mtoto mbele ya Mfalme Sulemani MMOJA WAO alikuwa ana HAKI? (Soma 1 Wafalme 3) Kuwa na makosa kwenye jambo A hakukufanyi usiwe na haki kwenye jambo B.hapa watu wanamsema makonda utadhani gsm msafi. yaan watz ukiwaibia huku ukiwalambs miguu wao ndio wanafurahi
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...
Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipiView attachment 2148487
Ukitazama hizo picha mbili sura ya tapeli haijifichiWakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali yake.
Mzozo wa kiwanja hicho umeibuka hivi karibuni, ambapo Makonda ameonekana katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii akisisitiza kuwa eneo hilo ni lake.
Hayo yanyompata ni laana aliyoipata kwa kumshambulia Jaji WARIOBA!!
Alitakiwa kuitisha waandishi ha habari kama alivyofanya mwenzake siyo kusemea whatsappMakonda mbona unabwekea mbali?
Umetakiwa kupeleka vielelezo na sio kutaja majina ya watu walio nyuma au mbele...😂
Wachafu wamekutana ila wamezidiana viwangoGSM sio wasafi na wala Makonda sio msafi.
Uzuri wenye dhambi wote wanakutana motoni hakuna majivu 😂😂😂Wachafu wamekutana ila wamezidiana viwango