Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

Kupo shwari kabisa na ndio maana kazi za utekelezaji wa ilani ya CCM zinaendelea vyema kabisa pasipo kukwama wala kusua sua.
Utajuaje na wewe unachojua ni kusifia tu,kama unazo akili za kutosha unajua tafsiri ya kauli ya Makonda ya leo. Au yale madongo unafikiri alikuwa anawatupia kina nani?
 
Katika hilo Makonda nakuunga mkono. Kama taifa hili na Afrika kwa jumla tunataka kupiga hatua na kukata minyororo ya mabepari wenye uchu, hakuna namna ya kukwepa baadhi ya mitazamo na actions za Baba Magufuli.
Mafanikio yanamhusisha JPM ila failures mnasema Mama ndio kafeli... mbona sasa unafiki ni ule ule
 
Huyo anawazuga watu tuu 🤣🤣🤣
 
Tuwe wakweli porojo na kelele mnazosikia kwamba hawa watu wawili wasitenganishwe ni kutoutendea haki ukweli.

Wakati Mkurugenzi wa TRC anasema Dr Samia ameizidi Ugerman ktk kuboresha miundo mbini ya Reli basi msipinge.

Kwanza kuwepo kwa kelele za kutaka watu wasiwatofautishe tayari ndio ukweli wemyewe kwamba wanatofautiana.

Bila kwenda into too much details Dr Samia na aliyekuwa Dr Magufuli wanatofautiana kwa mbali mno.


Maji na mafuta hayachangamani.

Pole kwa kazi nzito Comrade Paul Makonda Katibu Mkuu, Itikadi na Uenezi CCM Taifa. Na wewe utendee haki ukweli.

Ramadhan Kareem
 
Safi sana makonda.umesema ukweli kabisa bila kujipendekeza.Hii tabia ya viongozi mbumbumbu kumchafua mpendwa wa watanzani ndugu magufuli ikome mara moja.2025makonda tunakuhitaji watanzani tuliowengi ispokuwa tu mbumbumbu wachache ambao hawafiki hata miamoja
 
Ilani ipo siku zote lakini ilani si kitu hai. Ni watu ndio wanafanya kazi. Ndio maana huwa kuna uchaguzi, na kazi yake si kubadili ilani bali watu. Ndio maana kuna mahakama, lengo lake si kuhukumu ilani bali watu. Ultimate point ni WATU - ndio maana Magufuli anastahili sifa nyingi.
 
January,
February
March
 
Kipindi cha Samia ni msimu wa mavuno, punguzeni kelele ya kesho hatujui.
 
MAGUFULI alikuwa RAIS wa Awamu ya 5 na ilani yake ndio iliyopo tunashangaa AWAMU ya 6 imeanza lini na Ilani yake ni ipo?
Kuwatofautisha ni Sawa
 
Kwa ubongo wako na wewe uamini kabisa kuwa Tanzania chini ya Samia Suluhu tumeizidi Germany katiba uboreshaji wa miundombinu??
Mzee unaijua Ujerumani au unaisikia tu??
Hapa tu aisee we ni kichekesho.
 
It is none of our business! Kulaneni hadi kucha!
 
Mama Samia amewawezesha wakina Kadogosa kufanya ufisadi uliokithiri!!
Mwamba Magu angekuwa hai SGR ingekwisha kamilika. Kinana angekwisha kimbia nchi na Kikwete angejifungia kwao Msoga akichunga punda!
Acha kumchafua Mh Rais. Na uwe na adabu kwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…