Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

Kitafunwa cha mzee six hiki kinajiona na chenyewe ni rais kivuli.
 
Na nyie mnampa airtime Huyu wa nini? Bro ni Bora hata ungepost habari za Kilimo Cha njugu mawe kuliko kupost habari za hili lililoshindwa kumzalisha mkewe hadi akazalishwa kwa njia ya chupa.
Kwa hyo jamaaa hawezi kutia simba kweli mkuuu ukiitwa utatoa ushahidi
 
Yaani tuombee wauaji! Tumekosa vya kuombea? Maombi pekee tunayomfikishia Mungu wetu, atuondolee watawala dhalimu wanaoteka na kuwaua binadamu wenzao, alijalie neema taifa letu ili siku moja liwapate viongozi wenye upendo wa kweli kwa watu wake, wanaoheshimu uhai wa wanadamu wenzao, viongozi wanaotambua kuwa tamaa ya mamlaka na madaraka kwa walionyimwa hekima ya Mungu, ni daraja la kuwafikisha jehanamu. Nchi inahitaji viongozi wenye upendo wa kweli na wanaofurahia kusimamia haki maana haki ni msingi wa upendo wa kweli. Tunaomba Mungu alirehemu taifa letu na kisha liwapate viongozi wema waliojaa hekima na upendo wa kweli.
 
Naunga mkono hoja, kwasababu baada yake ni yeye ndie anafuata!

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema​

P
 
Huyu jamaa namna anavyotaka maneno na ukimwangalia movement ya ulimi na mdomo tofauti kabisa na kabla ya kipindi kile alivyopotea ghafla. Sijui kama watu wame-note hicho kitu.
 
huyo jamaa siku akija kuachwa yatima sijui atakimbilia wapi, cha ajabu raisi Samia ana watu wengi wanaouhitaji na kuutegemea uraisi wake kwenye mambo yao lkn wako kimya, siyo kwa sababu ni wajinga bali wanajua kwamba kuna kesho pia.

low iq dude ...
 
huyo jamaa siku akija kuachwa yatima sijui atakimbilia wapi, cha ajabu raisi samia ana watu wengi wanaouhitaji na kuutegemea uraisi wake kwenye mambo yao lkn wako kimya, siyo kwa sababu ni wajinga bali wanajua kwamba kuna kesho pia.

low iq dude ...
Mwisho hapo ungemaliza na kibwagizo pendwa cha Muslims Destroy Nation.
 
2030 watatoana meno kwaiyo hii nchi ina viongozi wawili tuu?
 
Harooo <akonda mbona unakuwa mbinafsi sana?
Tukuombeeni ninyi wawili kwa mpango gani?
Halafu tukuombeeni kwa kitu gani tunachofaidika kwenu?

Sasa kama hujui, lazima mjishushe, muwaombe radhi watanzania, mambo muliyowafanyia Okt29, masifikiri yatasahaulika kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…