Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

Wahutu wana roho mbaya? Tumieni akili sio masaburi.
 
Hili suala la "sukuma gang" naona linakuwa entertained sana. Sahivi hata ukihoji kwanini miradi ya Kimkakati haikamiliki kw awakati unaambiwa wewe ni sukuma gang, na pia ukiachana na chuki kwa watu wa Kanda ya Ziwa mtoa Uzi ebu angalia hoja za Mpina je, ni dhaifu au sio dhaifu, ni logic ama la? Vijana tusipende ushabiki ebu tusimame na Taifa tuachane na hizo mambo. Tuwachukie wanaorudisha Taifa nyuma na sio watu wa kabila fulani au ukanda fulani that is stupidity.
 
Kura ya turufu kufanya nini, kila mmoja ana kura sawa nchi hii na wala hazitahesabiwa wala kupigwa kwa Ukanda na ndio maana tunapinga ukanda
Mkuu naona unajipa matumaini ya kufa mtu!.
 
Hilo jina silipendi sana..kwanini msitumia magufuli gang..kuliko kuliingiza kabila zima kwenye huo upumbafu..lengo lenu nini hasa.?

#MaendeleoHayanaChama

Unafikiri JPM hana wafuasi wa his legacy eeh?! Tumia jina la Magufuli uone kama hutawaamsha walio lala wasiotaka huu upuuzi wa kubaguana kimakabila au kiimani. Mnadanganywa na vimaneno vya Kina Ulimwengu vya kushindana na aliye lala mauti.
 

Unguja hakuna kabila, ndiyo sababu unateseka.
 
Mliruka mikojo mkakanyaga kinyesi,uzalendo siyo kuua upinzani,na kupiga watu risasi.
 
Unafikiri JPM hana wafuasi wa his legacy eeh?! Tumia jina la Magufuli uone kama hutawaamdha walio kala wasiotaka huu upuuzi wa kubaguana kimakabila au kiimani. Mnadanganya na vimaneno vya Kina Ulimwengu vya kushindana na aliye lala mauti.
Mwasisio wa ubaguzi Tanzania ni Magufuri
 

Kenge wewe sio msukuma, nkong’wanzoka.
 
SG watulie dawa iwaingie, ule wakati wa kuongoza nchi kwa mkono wa chuma umekwisha, kulialia na kutafuta huruma ya wananchi hakutowarejesha madarakani au kuwapeusha na mkono wa sheria, kwa Serikali hii ya Mama hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine, wote tutarudi kwenye mstari
 
Watanzania wakati mwengine nashindwa kuwaelewa. Kama Mh Rais karudisha tozo iliyo ondolewa kwenye mafuta. Kugundua kwamba Mh Rais alishauriwa vibaya kuhusu suala la kuondoa tozo ya 100/- nalo linahitaji akili gani kubwa?! Kumjua/kuhisi nani alimshauri nayo ni suala la rocket science? Chaaaa!
 
Mkuu kaa ukijua tuna mikoa mitano na bado kuna mikoa tumesambaaa km mchanga.kwa swala la kura kanda ya ziwa wasukuma ndo tunashikilia.Kingine hizi dharau kwa JPM na taarabu wanazoimba hawa wangese kumponda ndo zinaleta ukabila na kutuita sukuma gang wakati hakuna kitu km hicho

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Acha kudanfanya watu.

Kanda ya Ziwa ina turufu gani? Kama ni uwingi wa watu, kwa nini isiwe Dar? Kanda ya Ziwa counts less than 20% of Tanzania population. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo kwa kiwango cha ku-dictate uamuzi wowote ule wa nchi.
 
Dar yenyewe wanakanda ya ziwa ni wengi tu unaongea nini wewe?
 
Mnaidhalilisha kanda yetu ya Ziwa ionekane imebeba watu wajinga.

Population ya Kanda ya Ziwa haifikii hata idadi ya Kanda mbili zilizobakia, zikiwekwa pamoja. Kwa ukweli huo, hiyo kura ya turufu inaipataje? Au huelewi maana ya turufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…