Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria
Tatizo lake mtu wa visasi sana.
Akiwa rais tegemea anguko la gsm and silent ocean kupotea kabisa nchini.
 
Ni kiongozi mzuri endapo ataacha kabisa kushindana na watu na visasi vya kijinga ambavyo havifundishi
 
Kimasihara hivi hivi bash boy presidaa, Ccm wanajifanyaga miungu akili zao hazichunguziki😥😥
 
Back
Top Bottom