Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

Mm hapana na family yangu!!

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kuna mtu ameleta uzi akilalamika kwamba Mashoga wanaongezeka kwa wingi Tanzania.
NI KWELI MACHOKO WANAZID KUWA WENGI SANA NOWDAYS.,MBAYA ZAIDI NACHUKIA KUONA WENGINE NAO WANA MAJINA KAMA YA KINA SISI BASI TAABU JUU YA TABU,MUNGU TUEPUSHE NA SODOMA NA GOMORAH
 
mapumziko na likizo fupi ya kikazi alochukua Paul Christian Makonda, imedhihirisha kupendwa sana na kuhitajika kwake miongoni mwa waTanzania.

kumbe umuhimu wake wa kipekee ni mkubwa sana katika jamii, na mipango mikakati, jitihada, mbinu na ubunifu wake wake kwenye kushughulika kero za wanainchi, zinahitajika pakubwa sana nchini...

na hii inaashiria upo uzalendo, heshima, umoja na mapenzi ya dhati makubwa sana ya waTanzania kwa viongozi wao waandamizi wa kitaifa..
hii ni afya kwa ustawi wa umoja wetu, amani na utulivu wa Taifa letu..

ni rai yangu sasa kwa waTanzania wote, kuungana na kuendelea kushikamana na kuandamana katika ibada, sala na maombi kwa Mungu, ili viongozi wetu hawa, daima wawe na afya njema, bidii, na maisha marefu, ili kusudi kwa kutumia maarifa, weledi na ubunifu wa mipango yao waendelee kuwatumikia wanainchi wa Tanzania bila kuchoka wala kukata tamaa licha ya changamoto mbalimbali za kibinadamu zilizopo 🐒

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na viongozi wote wenye nafasi na dhamana ya kuwatumikia wanainchi popote nchini..

Mungu Ibariki Tanzania..
 
mapumziko na likizo fupi ya kikazi alochukua Paul Christian Makonda, imedhihirisha kupendwa sana na kuhitajika kwake miongoni mwa waTanzania.

kumbe umuhimu wake wa kipekee ni mkubwa mkubwa sana katika jamii, na mipango mikakati na jitihada zake kwenye kushughulika kero za wanainchi zinahitajika pakubwa sana nchini...

na hii inaashiria upo uzalendo, heshima, umoja na mapenzi ya dhati makubwa sana ya waTanzania kwa viongozi wao waandamizi wa kitaifa..

ni rai yangu kwa waTanzania wote kuendelea kushikamana na kuandamana katika sala na maombi kwa Mungu, ili viongozi wetu hawa, daima wawe na afya njema na maisha marefu, ili kusudi kwa kutumia maarifa, weledi na ubunifu wa mipango yao waendelee kuwatumikia wanainchi wa Tanzania bila kuchoka wala kukata tamaa licha ya changamoto mbalimbali za kibinadamu zilizopo 🐒

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na viongozi wote wenye nafasi na dhamana ya kuwatumikia wanainchi popote nchini..

Mungu Ibariki Tanzania..

Watanzania wapi hao unaowaongelea?
 
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria
Ukipenzi huo unatokana na Nini? Kipi Cha maana ametufanyia nje ya Kodi zetu tunazokamuliwa

Tunataka katiba mpya sasa yeye anasema mpaka tuende shule kwanza
 
Back
Top Bottom