asipochukua form 2030 atanikwaza.Japo mkataba MWITONGO unaweza kuwa kikwazo kwake na kwa mzalendo yeyote wa nchi hiiHuenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
- Kila unaposimama unaonekana
- Kila unalofanya linaonekana
- Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo watu ni Sheria