Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

Jinga kabisa mleta mada. Mchukue awe rais wa familia yako na mkeo hapo kwako
 
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria
Nchi hii Urais unachukuliwa poa sana ,kwamba kila mmoja anaweza kua rais, ujinga huu
 
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria
Daaah kuongoza watu wajinga ni kazi rahisi sana.
Makonda ni populist. Mengi anayosema na kutenda hayana consistence.
Mifano ipo ya kutosha!
 
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria
Kwanini isiwe kuanzia 2025?
2030 ni mbali sana.
 
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria

Labda rais wa WASAFI achukue nafasi ya DIMONDI aka LUKUGA aka MWAMBINO aka DAINAMO.
 
Kwa hao akina Kikwete, Magufuli au Samia wana akili sana kuliko Makonda? Makonda anafaa sana kuliko hata Samia! Mengine kufarijiana tu!

Wewe unaona kuna mwanasiasa na mtawala Afrika akili zimetimia?
 
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
  • Kila unaposimama unaonekana
  • Kila unalofanya linaonekana
  • Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu

Amini, watakalo watu ni Sheria
Halafu Nchimbi unamuweka wapi mwaka huo? Soma alama mzee.
 
Nchimbi awe Rais? Unaumwa saizi hunataka vijana huyo Nchimbi ni fisadi na mwendelezo wa ufisadi!
Jitahidi kuanalyse siasa ya CCM. I am not a CCM member or a fan and am not even liking/looking forward ashinde huyu bwana lakini duru zipo hivyo ndio maana unaona amekuwa anahakikisha mkuu wa TISS anakaa pale jamaa yake aliyekuwa Aide wake kule Brazil akiwa balozi.

Watu kama Bashe na vijana wote wa kundi la Hayati ENL wanaamini inayokuja ni ya kwao save for kundi la hayati Magu ambao wengi ni wageni kwenye chama na serikali kushinda wa ENL ambao hata mzee JK kwa sababu alishindwa kuandaa succession planning ikafeli kwa Membe analazimika kuside na group la ENL ambalo ndio linambeba hata huyu mama kwa sasa hivyo nae anajikuta hana namna lazima awakubali ili akiondoka awe salama.

So mark my words brother.
 
Ngoja tuone itakuwaje! Ila 2030 kazi ipo! Kama ni hivo basi Nchimbi inabidi asked team yake saizi mapema kwa maana team ya Magufuli japo haina muda mrefu ila ina washabiki wa kutosha ndani na nje ya chama!
Miaka inavyozidi kwenda siasa zinabadilika kuwa na team tu haitoshi inategemea ushawishi wako kwenye jamii pia kitu ambacho Nchimbi hana!
 
Back
Top Bottom