Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Kapigwa marufuku kukanyaga US hawezi kuongoza hata Toilet Marekani.Kiwango cha Makonda kinafaa kuongoza hata Marekani!
Kuna mtu ameleta uzi akilalamika kwamba Mashoga wanaongezeka kwa wingi Tanzania.Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
- Kila unaposimama unaonekana
- Kila unalofanya linaonekana
- Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo watu ni Sheria
Tatizo lake mtu wa visasi sana.Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
- Kila unaposimama unaonekana
- Kila unalofanya linaonekana
- Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo watu ni Sheria
Kama unampenda muite nyumbani kwako mnywe chai tu inatosha.Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
- Kila unaposimama unaonekana
- Kila unalofanya linaonekana
- Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo watu ni Sheria
Sisi? Wewe na akina nani?Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
- Kila unaposimama unaonekana
- Kila unalofanya linaonekana
- Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo watu ni Sheria
Na walevi wenzake wa wanzukiSisi? Wewe na akina nani?
Acha UPAMBUVU.Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
- Kila unaposimama unaonekana
- Kila unalofanya linaonekana
- Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo watu ni Sheria
Vijiwe na senta za wahuni. Komeni!Kila kijiwe na senta