mapumziko na likizo fupi ya kikazi alochukua Paul Christian Makonda, imedhihirisha kupendwa sana na kuhitajika kwake miongoni mwa waTanzania.
kumbe umuhimu wake wa kipekee ni mkubwa mkubwa sana katika jamii, na mipango mikakati na jitihada zake kwenye kushughulika kero za wanainchi zinahitajika pakubwa sana nchini...
na hii inaashiria upo uzalendo, heshima, umoja na mapenzi ya dhati makubwa sana ya waTanzania kwa viongozi wao waandamizi wa kitaifa..
ni rai yangu kwa waTanzania wote kuendelea kushikamana na kuandamana katika sala na maombi kwa Mungu, ili viongozi wetu hawa, daima wawe na afya njema na maisha marefu, ili kusudi kwa kutumia maarifa, weledi na ubunifu wa mipango yao waendelee kuwatumikia wanainchi wa Tanzania bila kuchoka wala kukata tamaa licha ya changamoto mbalimbali za kibinadamu zilizopo 🐒
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na viongozi wote wenye nafasi na dhamana ya kuwatumikia wanainchi popote nchini..
Mungu Ibariki Tanzania..