Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Limeishaa,linamsubiri yeye tu akakae japo sio la kivileeeeHivi lile jumba alilojengewa Kigamboni kwa mgongo wa JPM limeishia wapi?
Wakati wake umepita, mbaya zaidi kapewa documents feki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii vita ni zaidi ya uijuavyo hivyo tulia
Na mkubwa mwingine ni kingwenduu..Mmoja wa hao wakubwa tunaofuatilia mtanange ni mimi hapa.
Tofautisha kufanikiwa na wizi/unyang'anyi wa Mali za watu na za serikali... Mbona hatuna wivu na Baresa au Mo??Watanzania kwa majungu ,90% Wana DNA za umaskini,wakiona mtu kafanikiwa Basi watakuletea hata katoto ka kike ,then wakusingizie umekabaka !! stupid
Hahaaa!!kwenye sheria wala hakuna haja ya kutumia nguvu, ingekuwa hivyo hakuna MKULYA au MJARUO, ambaye angekuwa magereza!!Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Na huo ndio upimbi halisi, waafrica wanafurahia mafanikio ya mzungu, mwarabu, muhindi lakini sio mweusi mwenzake, akiona mwenzake amefanikia anatamani kufa kwa wivu, akishindwa uchawi basi angalau matusi kwenye mitandaoTofautisha kufanikiwa na wizi/unyang'anyi wa Mali za watu na za serikali... Mbona hatuna wivu na Baresa au Mo??
Wewe ni mtu, tuanze nawewe alikufanyia nini? Au ndo zile tabia za kimasikini za kufata mkumbo wa chuki.Sawa, lakini ujuwe wengi wetu tunataka AANGAMIE NA APOTEE KABISA... Aliyowafanya watu wakati akiwa mkuu wa mkoa yanatosha...
Hahaha[emoji23]Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Kosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.
Alisema asikitikiwe akimuacha Yesu, sasa sijui ni Yesu yupiKwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri