Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

Crap…
 
Kosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.

Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.

Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.

Basi Makonda ana haki.
Kumbuka walisaini kwa ushahidi wa wakili ambaye kimsingi Mahakama inamwamini
 
Nguvu iliyokuwa inamlinda ilishaondoka hapa duniani tangu 17 March 2021
 
Kosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.

Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.

Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.

Basi Makonda ana haki.
Hiyo transfer angeifanya bila document? Uenda alikwama kufanya kwa wakati sababu hana attachments
 
Msoga inatakiwa kuvamiwa na nzige ama kulipuliwa na Moscow
 
Ndio yuko kushughurikia kufoji document. Na hayo yanatokea kwa nchi zetu tu. Ulaya ilikuwa ni kesi umepata ukiwa kiongozi
 
Ili ukiwa zwazwa basi hata ufanye nini uzwazwa haukuachii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu lini muhuri ukawa stamped chini ya picha badala ya kua juu yake??
Hapo umenifumbua macho mkuu. Itakuwa huyu kachukua hizo documentary za wengine,kafoji foji mapicha picha
 
Mimi Sina Cha kuongeza ila nataka makonda amshinde huyo gsm
 
kinachotia shaka katika hizi nyaraka, ni mihuri inatangulia kwanza halafu picha zinawekwa juu yake.
Picha hua zina materials ya kuteleza, hivyo mhuri haukukolea vizuri ukafutika
 
Bashite aliturusha roho sana tusio na kazi mpaka mjini, sijui alijiamini vipi kusema atatufukuza turudi kijijini [emoji3]
 
Dah kiongozi hapa ndio umenivuruga kabisa..

Yani 2006 walinunua Kwa million 500, wakaja kuuza Kwa million 120 mwaka 2013? Hesabu ya ardhi huwa haikai hivyo bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…