Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwa mapicha picha haya na lugha za kisheria zilizotumika ni nani tapeli na nani mwenye haki hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mapicha picha haya na lugha za kisheria zilizotumika ni nani tapeli na nani mwenye haki hapa?
Crap…Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Kumbuka walisaini kwa ushahidi wa wakili ambaye kimsingi Mahakama inamwaminiKosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.
Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.
Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.
Basi Makonda ana haki.
Muhuri unaonekana ni mbiji kabisa, mhuri wa 2012 huwezi kuwa hivyoKwa documents za Aina hii ajiandae kufunguliwa Kesi ya KUGUSHI NYARAKAView attachment 2148571
Nguvu iliyokuwa inamlinda ilishaondoka hapa duniani tangu 17 March 2021Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Hiyo transfer angeifanya bila document? Uenda alikwama kufanya kwa wakati sababu hana attachmentsKosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.
Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.
Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.
Basi Makonda ana haki.
📌📌📌📌📌Watanzania kwa majungu ,90% Wana DNA za umaskini,wakiona mtu kafanikiwa Basi watakuletea hata katoto ka kike ,then wakusingizie umekabaka !! stupid
Mko wangapi dhidi ya wangapi?Sawa, lakini ujuwe wengi wetu tunataka AANGAMIE NA APOTEE KABISA...
Mdomo umeponza kiwiliwiliBashite alituambia kuwa yeye ni mla raha mkubwa kuliko wote dunia hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa hua ni Zero [emoji23][emoji23]Kwa documents za Aina hii ajiandae kufunguliwa Kesi ya KUGUSHI NYARAKAView attachment 2148571
Hapo umenifumbua macho mkuu. Itakuwa huyu kachukua hizo documentary za wengine,kafoji foji mapicha pichaIli ukiwa zwazwa basi hata ufanye nini uzwazwa haukuachii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu lini muhuri ukawa stamped chini ya picha badala ya kua juu yake??
Picha hua zina materials ya kuteleza, hivyo mhuri haukukolea vizuri ukafutikakinachotia shaka katika hizi nyaraka, ni mihuri inatangulia kwanza halafu picha zinawekwa juu yake.
Jamaa ana tabia za kikeBashite aliturusha roho sana tusio na kazi mpaka mjini, sijui alijiamini vipi kusema atatufukuza turudi kijijini [emoji3]
Dah kiongozi hapa ndio umenivuruga kabisa..Wanadai mchongo ulikuwa 2013,GSMu walimuuzia Bashite kiwanja maeneo nyeti hapo Daslam kwa 120M.Wao watoto wa mjini walikinunua 500M 2006.
Wanadai pia 2019 aliwaambia ni maelekezo kutoka kwa Mzee wa Chattle,
Kwamba mzee anataka GSMu wambarikie hekalu.
Wanadai tena GSMu wakashtukia mchongo Mkoromije alitaka kuwapiga tu, ajimilikishe Hekalu,Kwanza Mzee wa Chattle alisha RIP.
Sasa watoto wa mjini wamechukua chao na wana nyaraka zote,Mkoromije amebaki analialia na nyaraka zinasambaa zina picha juu ya muhuri.
Wadau pia wanahoji 2013 mbona Bashite alikuwa bado yupo koromije ata kama alikuja Daslam,alikuwa na uwezo gani wakupiga dili na Gisemu,
Maana hata hapo alikuwa bado hajamfunga kamba viatu Rizimoko mtoto wa msoga ili aingizwe kwenye sisitimu ya wakubwa.
Wadau tena wanahoji hata kama alinunua aliwa RC wa Daslam,bado mshahara hautoshi kupiga dili la 1B+ alizitoa wapi!?
Sa hivi wengi wanadai apelekwe kwa Pilato asurubiwe .
Wengi wetu hapa JFMko wangapi dhidi ya wangapi?