Chongolo anasemajeAmeongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Naibu wa Naibu wa Waziri MkuuNaibu Waziri Mkuu 2025-2035
Nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama, ameshampa waziri mkuu miezi 6 migogoro ya ardhi iwe imekwisha. Migogoro ya ardhi inaibuka kila siku itaishaje ndani ya miezi 6. Akaulize mabaraza ya ardhi nchi nzima siku ya leo tu wameandikisha kesi ngapi ya migogoro ya ardhi.View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Ni mpaka bosi wa waziri mkuuKwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
YA MUNGU MENGI.......Safi sana
Huyu Dogo atafaa sana Uwaziri mkubwa 2025 ๐๐
hakika aise๐คฃKweli tabia ni ngozi, jamaa kama mgonjwq vile
Nchi ngumu sana hii. Hivi kuna nchi yenye vituko kuliko Tanzania? Haki ya nani. kama tungekuwa na wacheza sinema na watunzi wazuri, basi tungeoongoza kwa comedy duniani.๐๐๐๐๐๐