Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua unasema hivyo huku ukivunjika mbavu kwa kicheko... Haya vituko vimeanza..Safi sana
Huyu Dogo atafaa sana Uwaziri mkubwa 2025 😂😂
Huyu ULIMI WAKE MKUBWA KUPITA MDOMOView attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Leo utalala na viatu huku ukibubujikwa machozi kwa uchungu mkubwa.😆😆😆😆😆😆
Siyo kama , ni mgonjwa halisiKweli tabia ni ngozi, jamaa kama mgonjwq vile
Hakika !Nchi ngumu sana hii. Hivi kuna nchi yenye vituko kuliko Tanzania? Haki ya nani. kama tungekuwa na wacheza sinema na watunzi wazuri, basi tungeoongoza kwa comedy duniani.
"Changamoto kubwa iliyopo katika ulimwengu wa sasa ni kwamba watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na siasa hivyo kuwapa mamlaka watu wasiokuwa na akili kuwatawala watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Ilani ndio boss. Unaitekeleza ilani.au mkuu huon raha unapita kwa mtogole lami. Je unadhan lami ile imejiangusha tu pale? Hapana. Ni ilaniKwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
Inawezekana migogoro kuisha ikiwa tu nyie mawakil mtakimbiAlza mambo.kwan sisi hatufiki huko mabaraza? Kuna kes ipo waz kila kitu lakin kila siku nenda rudimi
nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama, ameshampa waziri mkuu miezi 6 migogoro ya ardhi iwe imekwisha. Migogoro ya ardhi inaibuka kila siku itaishaje ndani ya miezi 6. Akaulize mabaraza ya ardhi nchi nzima siku ya leo tu wameandikisha kesi ngapi ya migogoro ya ardhi.
Watanzania wata-mfix kwa kuzusha mauwongo ya kutisha. Kuna moja anataka kutafuta namna ya kukwepa kulipa kodi, atawachanganya watendaji wa serikali. Bwanamdogo tu wala siyo makamu wa rais anatoa amri ya matamko yasiyotekelezeka.
kazi meansa muzuri sana kwa kijanaView attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Muda utapita kama ilivyokuwa Enzi ya mwanadamu...Hivi zile bato au oparesheni za Makonda mwenye kumbukumbu anipe mrejesho wa mafanikio au nimbwembwe kama hili tamko?
1. Oparesheni Madawa ya kulevya
2.Oparesheni usafi wajiji LA Dar
3.Oparesheni Mashoga
4.Oparesheni usije Dar kutoka mikoani kama huna shughuli mjini
5.Oparesheni kuwinda baba walitelekeza watoto
6.Oparesheni kukamata wanaume nakupima tenzi dume kwa nguvu.
Sasa hapo Kuna lolote jipya ...hizo taarifa zinaandaliwa miaka yote!View attachment 2800177