thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Kama waziri mkuu na naibu wake hawafanyi what do you expect?Kuna siku atawaita mawaziri wote na kuomba KPI zao [emoji16] [emoji16] Kazi ya Waziri Mkuu na Naibu wake jamaa kaivagamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waziri mkuu na naibu wake hawafanyi what do you expect?Kuna siku atawaita mawaziri wote na kuomba KPI zao [emoji16] [emoji16] Kazi ya Waziri Mkuu na Naibu wake jamaa kaivagamia
Umesahau Polepole kipindi chake channel ten? Tatizo mnasahau haraka!Hii ni nafasi mpya au? Hakujawahi kuwepo Mwenezi kabla?
YUPO SAHIHI KWA 100%,CHAMA NI LAZIMA KIPATE BACKUP ZA UTEKELEZWAJI WA ILANI ZAKE, CORRECTLY!Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
Aisome form four failure mwenzake, nape
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Yaani wee acha tu. Full comedian. Mambo yanayofanyika ni kama nchi ya kufikirika which does not exist.Nchi ngumu sana hii. Hivi kuna nchi yenye vituko kuliko Tanzania? Haki ya nani. kama tungekuwa na wacheza sinema na watunzi wazuri, basi tungeoongoza kwa comedy duniani.
Anayewaamrisha tunasikia hakumaliza shule. Maajabu ya dunia?Miaka 60s ya kujitawala tunao mawaziri wasio andika Ripoti ya wanacbokifanya mpaka waamrishwe?
Hji nayo ni aibu.
Sasa ndio tuwaeleweje? Kipind fulan mlikua kutwa kusema mambo hayaend. Kaja mtu anapush anafatilia nayo keleleYaani wee acha tu. Full comedian. Mambo yanayofanyika ni kama nchi ya kufikirika which does not exist.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nape jiandae kwaataarifa ya miezi miwili kabisaa, ili robo mwaka uwe na taarifa mbili
Usifanye mambo kuwa magumu hata yanapowezekana,kama walishindwa wengine kwake inawezekana,shida yenu wabongo mmezoezwa kubembelezwa mno😆😆na kama hujui mawaziri wako chini ya chama cha mapinduzi no hivyo wanaripoti kwa Makonda🤣🤣🤣🤣mi
Nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama, ameshampa waziri mkuu miezi 6 migogoro ya ardhi iwe imekwisha. Migogoro ya ardhi inaibuka kila siku itaishaje ndani ya miezi 6. Akaulize mabaraza ya ardhi nchi nzima siku ya leo tu wameandikisha kesi ngapi ya migogoro ya ardhi.
Watanzania wata-mfix kwa kuzusha mauwongo ya kutisha. Kuna moja anataka kutafuta namna ya kukwepa kulipa kodi, atawachanganya watendaji wa serikali. Bwanamdogo tu wala siyo makamu wa rais anatoa amri ya matamko yasiyotekelezeka.
Baadhi ya Wabongo hawajui ni nini wanataka kutoka kwa serikali yao😄😄😄Sasa ndio tuwaeleweje? Kipind fulan mlikua kutwa kusema mambo hayaend. Kaja mtu anapush anafatilia nayo kelele
Sinyie mlikua kutwa kusema watu wa awam hii dhaifu hawang'ati, kaja mtu ana ng'ata nayo makeleleee
Bashite kweli zero brain😂