Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama...
Wewe ndo hujui kiutaratibu mawaziri au serikali ni sawa na muuzaj duka. Mmiliki wa duka ni CCM. Kutoa taarifa ni uenezi wa siasa na propaganda.

So anacho fanya ni kufuatilia utendaji wa serikali. Ili iwajibike kwa wananchi. Lakini ni kufanya uenezi wake kwa wananchi. Hili ni jambo la kawaida na la kikanuni.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Nchi ngumu sana hii. Hivi kuna nchi yenye vituko kuliko Tanzania? Haki ya nani. kama tungekuwa na wacheza sinema na watunzi wazuri, basi tungeoongoza kwa comedy duniani.
IMG-20211215-WA0004_094154.jpg
 
pamoja na yote, Makond yuko sawa.

Tunapaswa kuishi kwa kuwaasses watendaji wetu kila robo mwaka kupitia report zao na mabosi zao kupima matokeo.

Hata Rais anapaswa kupima watendaji wake kila robo na kutumbua wale walio nje ya target walizopewa, hii inapaswa kuendelea mpaka chini huko ngazi za vijiji.
 
Kama mpend maendeleo na wala sio kiushabik wala kushikiw akil na kina maranja.
Hivi utakua unaeneze kitu usichokijua kimetekelezwaje? Wote humu wasomi

Je, huwa hamtoi report? Na kwanin wat wanakaa kubisha bisha tu hata vitu vya logically, report imeombwa ifike sekretariet ambayo kimisng inapaswa ijue manifesto yao. Wananchi waliyoichagua imetekelezwa?

Ndio imetekelezwa kwa kasi kubwa ndio mana hata kwa mtogole sasa kuna lami.lakin hata mtu mwingine angekua mwenez atasimama vipi kuinad ilan asiyojua utekelezaj wake upo asilimia ngap?

Wap pamekwama, wap pamefanikiwa wap hivi wap vile. Mim nilidhani tulipaswa kusisimkwa mana wewe mwamanch unawez kuisoma ilan ukajua kumbe mahali fula ukurasa fulan kuna kitu na hakijafanywa ukapaza saut huon kama ungefaulu? Kila anayefanya kaz yupo anamuwakilisha amiri jesh kuitekeleza ilan.

Iwe Walimu iwe wap wote mnatekeleza ilan. Na sikusikia mahali muenez kaomba report iende kwake bali nimekaa nikasikia iende secretariat.
Watanzania ukitaka kuwaficha jambo liweke kwenye maandishi tu,wengi wanabwabwaja tu lakini hawajui ata majukumu ya Katibu Mwenezi wanadhani ni sawa na Afisa habari wa Yanga au Simba kumbe ni miongoni mwa vigogo wa CCM kwenye rank za maamuzi.Mtu anaingia mpaka kamati kuu,sasa huyo ni mtu mdogo!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku atawaita mawaziri wote na kuomba KPI zao 😁 😁 Kazi ya Waziri Mkuu na Naibu wake jamaa kaivagamia
 
Back
Top Bottom