Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Aliyekuwepo alikuwa chura.Hii ni nafasi mpya au? Hakujawahi kuwepo Mwenezi kabla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuwepo alikuwa chura.Hii ni nafasi mpya au? Hakujawahi kuwepo Mwenezi kabla?
Ni suala la muda. Just tune your mind for the next big thang to happen. Boomerang now is back .
Chongolo ni mtendaji mkuu wa ChamaShida anataka amfunike chongolo ili yeye apewe ukatibu mkuu.
And the other way around. 😂Kazi imepatwa na chizi
Unaelewa teamwork maanake?. Do you think it’s that easy hata km sio msomi he’s surrounded with intellectuals who can pass through the files just one after another so all you need is to relax. He’s not that weak come ooooon!!
kwani.ana uchungu wa kujifungua?Leo utalala na viatu huku ukibubujikwa machozi kwa uchungu mkubwa.
Kwa taarifa yako zote zilipata mafanikio makubwa sana
Ripoti ya CAG makonda aliwahi kuisoma?Chongolo ni mtendaji mkuu wa Chama
Makonda ni msemaji wa chama
Sekretarieti inayotaka report ni ya Chama cha Mapinduzi sio ya Makonda
Means umkuti keagan wala Mama keagan
Anachotamka ni maelekezo ya kutoka ktk chama yeye ndio msemaji na Chongolo ni Mwenyekiti wa sekretarieti
Mawaziri wanatakiwa kupeleka report huko sio nyumbani kwa Makonda
Jaribu kuelewa na kukubali kuwa chama kinaelekeza kupitia vikao anapewa msemaji (mwenezi)
Kichama huyo ni boss Wao 😂😂
Chongolo ni mtendaji mkuu wa Chama
Makonda ni msemaji wa chama
Sekretarieti inayotaka report ni ya Chama cha Mapinduzi sio ya Makonda
Means umkuti keagan wala Mama keagan
Anachotamka ni maelekezo ya kutoka ktk chama yeye ndio msemaji na Chongolo ni Mwenyekiti wa sekretarieti
Mawaziri wanatakiwa kupeleka report huko sio nyumbani kwa Makonda
Jaribu kuelewa na kukubali kuwa chama kinaelekeza kupitia vikao anapewa msemaji (mwenezi)
Kumekucha kumekuchaaa[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yale mambo tuliyoyamiss sasa yameanza[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kamati kuu ya Chadema watoto wao wote ni raia wa Marekani
watoto wa malecela wapo wapi. acha ujinga bhanaKamati kuu ya Chadema watoto wao wote ni raia wa Marekani
we kumbe zuzu km yeye, ipi imefanikiwa, madawa ya kulevya yameisha? Yamemalizwa kwa kauli zake? Jiji bado chafu, mashoga ndio wameongezeka, Dsm watu wanaenda sana kwanza asingweza kuwakataza ni kwasababu ni zoba, Kweli Mpumbavu hakosi mwenzieKwa taarifa yako zote zilipata mafanikio makubwa sana
Hivi Samia alilewa wakati analipeleka jina la huyu lofa?Baadhi ya kazi ya Mwenezi moja ni kutoa taarifa ya yaliyojiri ndani ya vikao vya chama, lingine kueneza sera, imani, ilani na itikadi ya chama. sasa hili fala linampa maagizo mpaka waziri mkuu, km siyo kichaa au pumbavu lisilobadilika ni nini. Ndio maana vijana wengi wasomi wataendelea kuidharau CCM, hata nje ya nchi tutadharauliwa.View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.