Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .

Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Aisome form four failure mwenzake, nape
 
Yaani wee acha tu. Full comedian. Mambo yanayofanyika ni kama nchi ya kufikirika which does not exist.
Sasa ndio tuwaeleweje? Kipind fulan mlikua kutwa kusema mambo hayaend. Kaja mtu anapush anafatilia nayo kelele
Sinyie mlikua kutwa kusema watu wa awam hii dhaifu hawang'ati, kaja mtu ana ng'ata nayo makeleleee
 
mi

Nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama, ameshampa waziri mkuu miezi 6 migogoro ya ardhi iwe imekwisha. Migogoro ya ardhi inaibuka kila siku itaishaje ndani ya miezi 6. Akaulize mabaraza ya ardhi nchi nzima siku ya leo tu wameandikisha kesi ngapi ya migogoro ya ardhi.

Watanzania wata-mfix kwa kuzusha mauwongo ya kutisha. Kuna moja anataka kutafuta namna ya kukwepa kulipa kodi, atawachanganya watendaji wa serikali. Bwanamdogo tu wala siyo makamu wa rais anatoa amri ya matamko yasiyotekelezeka.
Usifanye mambo kuwa magumu hata yanapowezekana,kama walishindwa wengine kwake inawezekana,shida yenu wabongo mmezoezwa kubembelezwa mno😆😆na kama hujui mawaziri wako chini ya chama cha mapinduzi no hivyo wanaripoti kwa Makonda🤣🤣🤣🤣
 
Sasa ndio tuwaeleweje? Kipind fulan mlikua kutwa kusema mambo hayaend. Kaja mtu anapush anafatilia nayo kelele
Sinyie mlikua kutwa kusema watu wa awam hii dhaifu hawang'ati, kaja mtu ana ng'ata nayo makeleleee
Baadhi ya Wabongo hawajui ni nini wanataka kutoka kwa serikali yao😄😄😄
 
Uenezi ni kukinenea mazuri chama na kuelezea uzuri wa sera na mikakati ya utekelezaji sio kutoa amri kwa watendaji wa serikali, awangoje kwenye kamati na mikutano yao ya kisiasa ndipo awafokee kwa ruksa ya mwenyekiti.
 
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .

Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Bashite kweli zero brain😂
 
Back
Top Bottom