Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Hivi zile bato au oparesheni za Makonda mwenye kumbukumbu anipe mrejesho wa mafanikio au nimbwembwe kama hili tamko?
1. Oparesheni Madawa ya kulevya
2.Oparesheni usafi wajiji LA Dar
3.Oparesheni Mashoga
4.Oparesheni usije Dar kutoka mikoani kama huna shughuli mjini
5.Oparesheni kuwinda baba walitelekeza watoto
6.Oparesheni kukamata wanaume nakupima tenzi dume kwa nguvu.
 
Huyu ULIMI WAKE MKUBWA KUPITA MDOMO
 
Ila naona kama haya maneno angetamka katibu Mkuu Chongolo, Makonda ni mzuri kwenye kuvuka mipaka kimajukumu, kwa maana utawala ule alikuwa kama makamu wa rais na sio mkuu wa mkoa.
Kwa hapa sasa hata mwenyekiti SSH atakuws hana cha kuongea, show zote zitamalizwa na Makonda.
Makonda atakuwa msaada sana kwa mama.

Ingawa yule mama simpendiiii....
 
"Changamoto kubwa iliyopo katika ulimwengu wa sasa ni kwamba watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na siasa hivyo kuwapa mamlaka watu wasiokuwa na akili kuwatawala watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."
Donald Trump, aliyekuwa Rais wa 45 wa Marekani.
 
Inawezekana migogoro kuisha ikiwa tu nyie mawakil mtakimbiAlza mambo.kwan sisi hatufiki huko mabaraza? Kuna kes ipo waz kila kitu lakin kila siku nenda rudi
 
kazi meansa muzuri sana kwa kijana
jamuhuri wa muungano wa tansania , kazi waendeleee saidi.........
 
Muda utapita kama ilivyokuwa Enzi ya mwanadamu...
 
Sasa hapo Kuna lolote jipya ...hizo taarifa zinaandaliwa miaka yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…