Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Sasa mkuu si walianzisha ugomvi.Kuandama sio solution ,Hamas wamefanya makosa ya kuteka watu hovyo hilo sio jambo la kufurahia.
Lakini utashangaa migalatia ambayo inaona Hamas ni magaidi inafurahi ukatili na mauaji ya kutisha ya wasio na hatia Gaza huku ikitype "safi sana Israeli endeleeni kutoa dozi"
Tiwaombe JF watuongezee emoji ya kulia machozi, imeumaDuuuu, vijana wanaacha wazazi, uchungu 😭😭 uchungu,
poleni
Ni kweli kabisa hio ni full speedImesambaratika mno. Huyu jamaa speed yake ilikuwa kubwa sana. Pia nadhani hiyo gari yake itakuwa hizi za kijapani ambazo wengi wanaziita karatasi.
Mkuu hata kama ingekuwa hammers kwa jinsi inavyoonekana alikuwa speed sana lazima ingesambaratika tu! Vijana waache ubitozi!Pole nyingi sana kwa familia, mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema amjalie pumziko jema na furaha ya milele.
Ni bahati mbaya sana vyombo vyetu hivi vya usafiri tunavyo vitumia kwa mantiki ya kurahisisha baadhi ya mambo na kufanya maisha yawe na furaha vimegeuka na kutususababisahia maumivu na ugumu wa maisha.
Kama tukijaaliwa heri kununua magari magumu ili likitokea la kutokea athari ziwe ni ndogo.
Imenitokea mara tatu.Ile ya Kibaha kona ya Loliindo staisahauImenitokea mara 2
Ulikuwa unakimbilia wapi ..?Apumzike kwa amani..
mwaka jana mwishoni,nilipata ajali ya namna hiyo,bado nakumbuka ile moment nishakubali matokeo kwamba hapa naenda kugonga, nikikumbuka nasisimka.
Atakuwa alikuwa zaidi ya 200km/hr. Ujinga mtupu! Niliwahi kupanda gari ya jamaa mmoja anatokea Kahama anaenda Mwanza. Mshale ukawa unalazimishwa kuvuka 220 nikamwambia acha ujinga dogo, kama huna majukumu sisi wenzio bado tuna majukumu! Eti linadai huwa sipendi kuona gari mbele yangu! Pumbavu kabisa!
Btw hapo naona panaonekana ni maporini na sio mjini ndo maana alikuwa Kasi....??.Ni hatari jamaa alikuwa speed kali sana.
Duh ina maana naye amekuwa mtu wa mafuta kama mzee wake,sema mzee wake mjanja sana aendeshagi gari anaendeshwaAlikuwa mafuta sana huku anachezea simu! Pole kwa wafiwa!
Bonge la mzingaDaudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
View attachment 2797431
View attachment 2797058
View attachment 2797062
Mtoa taarifa amekosea tu ni RC ManyaraRip Daudi na pole sana mzee Makongoro,
Kumbe kashapelekwa Rukwa?
Alikua Babati
Mtoa taarifa amekosea tu ni RC Manyara