Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Hii thread kama kweli imeandikwa na mshana basi itoshe kusema tu kwamba hapa "UMEFELI PAKUBWA BRO.

unafananisha kizazi cha 2023 na kizazi cha 1820?? Eti kjana hawez tembea hata kilomita 1?????

Kwa hyo kama mzee wangu hakuwaga na simu basi na mm nisiwe na simu? [emoji1]
 
Siwezi kuyakana maandishi yangu na tafsiri yako na mfano wako ni jibu tosha kwamba hukuelewa kabisa mantiki ya mimi kuandika niliyoyaandika...
Ninashinda na vijana kila siku nilichoandika ndio uhalisia
 
Ahahahaahahahah haya bhana!!
 
Wakuu Kichwamoto na moto wake

Naendelea kuanika ukweli waopinga kuoa na ndoa wengi ni hawana pesa , hawana nguvu za kiume, hawana viwanja, hawaja Jenga, wala bata za kimaskini, walevi wa gongo, wanavipesa uchwara vya mchicha, wanaogopa aibu. Inafahamika ukioa mke atajua kila kitu kuhusu mwanaume alivyo.

Nimemaliza episode zingine zinakuja.

Hivyo tu

Kichwamoto na moto wake
 
Mshamaliza kututukana?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…