Inategemea na marafiki na mazingira aliyokulia nayo mtoto. Kama marafiki wa mtoto wako ni wavuta bangi piga unavyo piga ila huyo mtoto anaweza kuwa mvuta bangi. Kama mtoto wako kila siku anaingia kwenye mitandao ya kijamii na kufuatilia vitu vya kipuuzi na yeye anaweza kukengeuka.Ndugu zangu hakuna bingwa wa malezi mtoto akiamua kukengeuka anakengeuka tu hata uwe mkali kama mzee Masawe au mzee Jumbe (i. e wazee wakaksi na wakali mtaana niliokulia) ila bado kuna watoto wao walishindikana na kuwa vivuruge kupita maelezo
Kaa kwenye mada. Acha kubadilisha topic.Can't wait to see some men who 've multiple kids with multiple women yet acting all holly cause nobody take them as a problem.
Mbona unaongea kwa lawama kama demu?I'm not a woman but if we think having kids before wedlock is an abomination why should we encourage men to hunt for sex while we know the possible end product. Why tusikataze sex as the source of all evil
Feminist huyo.Mbona unaongea kwa lawama kama demu?
Tatizo wazee wa Sasa wengi wanapenda kitonga Kuna wezee unakuta anahudumiwa na Binti ayise na kipato ila anaona na hajaolewa na anajigamba mtaani kabisaKuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto wa kike kazalia nyumbani mtoto wa kwanza ukasema bahati mbaya na wa pili anazalia nyumbani na baba tofauti na bado unaendelea kumlea hapo kwako kweli?
Zamani haikuwa ivyo kabisa watu walikuwa wanajichunga ila sasaivi uhuru umepitiliza embu wazazi acheni usasa ndio maana sasa hivi mwanaume apewi thamani yake kama zamani wakati kipindi cha nyuma mwanaume alikuwa anathaminiwa sana tofauti na sasa mwanaume wanatumika tu vibaya hii lekebisheni wazazi wafunzeni watoto wakike wajue thamani ya mwanaume wajue kuwa mwanaume ni nan
Mkuu kama una watoto wa kike basi wana hasara kubwa ya kupata baba kama ww.Sasa sasa hivi utamuozesha mtu ambae bado anasoma? Utaiambiaje jamuhuri ili ikuelewe? Inshort mambo yameshabadilika kwa maana hiyo zamani unayoisemea wewe hata kijana ambae tayari ameshabalehe na ameshaanza maisha ya kujitegemea lazima aoe na asipooa vikao vitakaliwa ili aseme ako na shida gani ila siku hizi watu hadi wanaota mvi hawaoi na wala hamna cha kuwafanya kwasababu si jambo la ajabu tena siku hizi.
Kwahiyo siku hizi ni utapeli tu ndio umejaa kwenye mapenzi, na utapeli huu unawaumiza zaidi watoto wa kike kuliko wa kiume kwa maana mtu aliyetia mimba Hana alama ila aliyetiwa anabaki na alama ya maisha.
Tuwafunze watoto wetu wakiume wawe wanaume ili wajue namna ya kuwalinda Hawa wanawake hasa katika upande huo wa kuzalia nyumbani.
Kwasababu hakuna maadili yatakayoweza kuwazuia watoto wakike waache kufanya mapenzi, as long as wanakula na kushiba, lakini je, wanafanyaje hayo mapenzi? Hapo ndio pakupafanyia kazi.
Kabisa wazazi ndio sababu mtoto wa kiume anafuga nywele na ana sukwa na mama yake aibuWatt wenyew wazaz mdio tuna wahatibu hv mtt mdog inanzaje mkukata nywele kama kichwa cha chn mtt wa kike mama leo nalala kwa kina Nancy
Kuna birthday sijui shule jratu mpk jpl huna tatjmin humo humo watt wananza kuharibika
Kwahy ata kumsimamia mtoto awe na tabia mzuri nayo ni shidaWazazi wengi siku hizi hawatekelezi majukumu yao, hawahudumii watoto wao.
Timiza wajibu wako kwanza hata akikengeuka akengeuke mwenyewe, ila wewe unacho takiwa kutimiza wajibu wako.Ndugu zangu hakuna bingwa wa malezi mtoto akiamua kukengeuka anakengeuka tu hata uwe mkali kama mzee Masawe au mzee Jumbe (i. e wazee wakaksi na wakali mtaana niliokulia) ila bado kuna watoto wao walishindikana na kuwa vivuruge kupita maelezo
Sio kweli ata wakishua now ni kuzaa tu ila uko uswahilini ndio unakuta mama ana mimba na mtoto ana mimbaWatoto wanaozalia nyumbani wengi ni wa masikini, wazazi hawatimizi majukumu yao ya kuhudumia watoto.
Nachoona now vujana wakiume wanashindana ili aonekane kidume kwa kula tundaKuna wale timu kataa ndoa, hao nao ni mchango wa tatizo. Wanajisifu kula tunda kimasihara, lakini hawataki kuwajibika. Sasa hapo utasema kuna mtoto wa kiume au sifuri. Mtoto wa kiume anadiriki kusema kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu. Wakati enzi zetu tulikuwa tukipigania watoto. Hawa jamaa ni mbuzi kabisa. Na wengi wao ni akina kalubandika au wanaita Yahya, wenyewe siku hizi wanaita marioo. Hawana wanachokijua, wenyewe wanafikiria ngono tu. Hawajui kwamba wanapimwa kwa ngono wakiwa na umri wa chini ya 45. Lakini wakiwa zaidi ya hapo, hakuna kitu. Tena hawa kizazi cha chips yaani ndiyo kabisa. Matokeo yake wakiwa na miaka 45 tu unakuta mtu kachoka utafikiri ana 65+. Kitu kinachomtafuna ni hana hela kwa sababu muda ambao alitakiwa kutafuta hela yeye alikuwa akichakata mbususu, hana ndoa kwa sababu wakati wenzake wanajenga familia na kujenga uwezo wa kiuchumi yeye alikuwa akila bata na hana nguvu za kiume tena kwa sababu ni lofa, hana kitu. Anakuwa mtu wa kudharauliwa tu. Hatimaye presha inapanda anakufa. Kwisha habari yake
Sawa ila mtoto wa kike lazima umtengene awe na haiba ya kikeNdugu zangu hakuna bingwa wa malezi mtoto akiamua kukengeuka anakengeuka tu hata uwe mkali kama mzee Masawe au mzee Jumbe (i. e wazee wakaksi na wakali mtaana niliokulia) ila bado kuna watoto wao walishindikana na kuwa vivuruge kupita maelezo
Mambo yamegeuka na hapo hajaolewa, atazaa tena na mwanaume mwingine, kipindi cha nyuma wanawake wakiambiwa ni kiwanda cha kuzalisha walikuwa wanakuwa wakali, sasa saizi binti anapewa mimba, anazaa mwanaume anaingia mitini, anakuja mwanaume mwingine anaweka anasepa anakuja mwanamke mwingine naye anasepa
Hata Sijui umri wako, huu uandishi wako tells a lot about you!Nyie nyumbu watoto wenu wako kwenye kundi lipi. Ndg hamuwezi kuitoa CCM kwa kuiwaza ktk kila changamoto zenu