Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Sasa,wewe hutaki kuchunwa kwa nini?Unataka uende na mali,fedha na mengineyo wapi?Kwanza fedha,mali na dhahabu ni za BWANA!Wewe za nini?Acha wakuchune kidogo aisee!
 
Mkuu sijasoma uzi wote, ila mama mkwe anae ingiilia anga zako mpelekee moto
Ikibidi naweza kumpelekea ili kulipiza fedha zangu ambazo nimetumia kumjengea choo na jiko la kisasa lakini naanzia wapi mkuu?
 
Mtongoze mama mkwe. Narudia tena mtongoze mama mkwe, muhonge muhonge hela, akisema vipi mwambie unaona pesa isizunguruke kwa binti ndio aipate, hizo anazotaka we uchunwe apate direct.
Amtongoze mama mkwe, akimkubalia je?
 
Kwa maelezo yako hiyo ndoa sina hakika kama ina maisha marefu. Binafsi ningepiga chini haraka mno tena kwa ghafla kabla hawajakunyongelea mbali.

Fanya vile nafsi yako inaridhika
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Mtongoze mama mkwe kama sio bibi
 
yaani wanawake ni mashetani wadogo ndani ya nyumba zetu
badala amsisitize mwanae akuheshimu anamsukuma kukuibia
pole mkuu
piga chini mapema, hapo unaishi na adui
fukuza, wakileta maswali itisha kikao onyesha hizo sms
 
Mdogo wangu, kama Hana mtoto, na mimba, nyanyua bag, mwachie kile kitu uende, Mimi ni Kaka yako, nimefanya yote hayo na ninajuta kutochukua hata mapema, usitengeneze memory nyingi zaidi za kukutesa, imetosha.
 
Nashukuru kwa ushauri kaka. Tayari nimeishaanza mchakato na bahati nzuri sijazaa naye mkuu.
 
Brother ngoja nikupe ushuhuda mmoja halisi kabisa nlioushuhudia na mpka sasa Nipo nao:...

Baba mmoja mnyamwez wa Tabora kijiji cha itonjanda alimuoa mama mmoja wa kihaya makazi yao yalikua ni tegeta Dar na nyumba ya ghorofa maisha safi sanaa mana baba alikua ana nafasi kwenye aya mashirika ya ukimwi nafikir ni PSI kama sijakosema na mama ni mtumishi wa bank kitu ka icho

Baba alikua na ukwasi sana alijenga nyumba nyingi sanaa dar na tbr na zingine kua nyumba za wagen ghafra mzee alipata stroke mama na watoto wakajua mzee hapon wacha waanze kudai urithi na kumsainisha nyaraka Mungu si Athman mzee akarecove kwa msaada wa ndugu zake mzee kakimbia nyumba yake uko tegeta na kuwaachia kila kitu karud kijijini huko......
Anaendesha tu miradi yake ya kijijini huku safi kabisa...,,

Kuna baadhi ya wanawake wana tamaa sanaa ndugu zangu
 
Uliyoandika yote hayo nimeona ni ya kawaida sana, ila kipengele ulichosema kuwa mama yako haujamfanyia jambo la maana kwa mfano huo!! nimejikuta naumia sana.

Pole sana brother, napenda kukushauri lakini tueleze kwanza msimamo/majibu ya mkeo yalikuwaje kwa mama yake?
Mapenzi yananguvu mkuu
 
Kuna mawili..either usamehe ama kama unamuacha mwambie unataka ufanye marekebisho kwenye nyumba yao hasa upande wa paa...hivo mafundi waanzage kubomoa paa na unawaahidi kuwa unaenda na mabati na mbao mpya...hiyo Sasa watasubiri mpaka yesu arudi.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Si mlikua hataki ushauri wa dronedrake sasa ndio bado mwanzo mengi yatafuata NA MPAKA UTHEMEEE
 
Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi

Ishi nao kimahesabu hao watu....hiyo ndo definition ya Mkeo sio nduguyo. Kuwa na mali/ pesa/ishu ambazo mkeo hajui unajua wewe na wazazi wako au ndugu yako wa karibu tu. Tunaishi nao kimachale
 
Kwanza usiongee nae, yaani usimwambie kuwa umeshtukia uhaini wao. Then jivue kwenye ndoa kihisia yaani fanya Kama unaishi na house girl tu. Mpe huduma zake za msingi, chakula mavazi, makazi, matibabu na tendo la ndoa.

Acha kuendelea kupanga naye chochote kuhusu kesho yenu, akija na Wazo lisikize ila usitekeleze, biashara zilizopo muache aendelee nazo usimtoe but usiingize pesa Kama zikiyumba. Ikifa biashara mwambie akae nyumbani, Waoneshe Kama umedrop kiuchumi au kuna hali flan ambayo sio nzuri.

Kwao wakihitaji hela wapotezee kimtindo, waoneshe umefulia. Anza kujiandaa kustaafu yaani jipange namna yakuishi ukiwa peke yako, ukiwa huna kazi Kama umeajiriwa, ukiwa huna nguvu Kama zakufanya movements Kama sasa hivi. Ukiwa huna mtu/watu wakutumikia.

Andaa future ya watoto wako but usiwategemee waje 100% Kama watakuja kukusupport hao watabase kwa mama yao to wakiwa kwako ni bahati mbaya. So fikiria kuhusu kesho yao Kama wao then fikiria kesho yako wewe Kama wewe.
KATIKA YOTE HAYO MTANGULIZE MUNGU NA UMUOMBE SANA AKUSIMAMIE NA AKUPE MTU SAHIHI WAKUISHI NAYE
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Dawa yake ni kumzalisha lundo la watoto atasahau huo ujinga
 
Back
Top Bottom