Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

A wish of the dying person was not fulfilled by someone who wishes he had god-like power! I pray to almighty god that his wishes may as well die with him too!
 
mama anaweza kuwa hajui mwanae anachofanya

Maharo,
Unaoongea uharo kama jina lako!!!Kosa la Kabendera ni UTAKATISHAJI WA FEDHA na UHUJUMU UCHUMI....kama kuna ukweli..! Tujiulize kosa la Kutakatisha fedha(Tshs.173m) au Uhujumu Uchumi ndiyo kosa la kutosamehewa mtu? Mbona Mafisadi waliokwapua Mabilioni ya ESCROW wako mtaani wanadunda baada ya kuomba msamaha na kukubaliwa?
Lakini pia Rais wa Utawala huuhuuu amesamehe WAFUNGWA WALIOKUWA WAMEUA NA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA AU KUNYONGWA leo wako huru.....!!
Why not Kabendera?????
 
Wazazi tuache kudekeza watoto tuwafunze kuishi na wakubwa zao vizuri Wawe ndugu,watu wazima wa mitaani,ofisini, serikalini nk

Kabendera Ni zao la ujinga wa wazazi wake akiwemo mama yake hasa hakumfunza jinsi ya kuishi na watu waliomzidi kiumri na kimadaraka

Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.Mama kabendera lawama zote na ziwe juu yako kwa kutomfunza vizuri mwanao Hadi kusababisha dunia ishike nafasi ya kumfunza kwa ujinga wako na kutomfunza mwanao vizuri Kama mzazi uliyemzaa.Unajua kuzaa tu kulea hujui mwanamke wewe mama kabendera.Looo!!

Kuzaa hata ngedere na mbwa anazaa kazi Ni kwenye malezi ndio tofauti iliyopo Kati ya hao wanyama na binadamu

Mama kabendera hukutimiza wajibu wako Kama mama ulizaa tu uiawaachia watoto dunia ndio iwafunze

https://jamii.app/JFUserGuide!!

This comment just fucked me up!!

How could a woman be so cruel???

Dada YEHODAYA I seriously wish I could curse you!!

Hata jambazi kwa mamake bado ni mtoto!!

A mother never forgets the pain!! [emoji22][emoji22][emoji22]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Husicheke Chief!!

As a mother, I will forever stand by my Son or daughter! No matter what!

Be it politically motivated or not, a mother has her rights to greave as much as she did in the labor ward!!

Inauma! Basi tu!
 
Back
Top Bottom