Mtumbatu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 363
- 171
Weka hata kapicha ka aliyekuwa first lady wa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hata kapicha ka aliyekuwa first lady wa taifa
Anaenda tuu kuongeza wapiga meza bungeni, kwa nini asingejikita kwenye taasisi yake ya WAMA?Kila lenye kheri mama.Nafurahi watu wanavyochukua form.Demokrasia inakua.
Anafuata nyayo za yule First Lady wa USANi kukosa Shukrani pia kwa miaka hio 5 aliyopewa kwa heshima ya mumewe.
Kwani mabibi siku hizi hawachezi na wajukuu? Hawalei wajukuu?Huyu mama angetakiwa atulie sasa aangalie mambo mengin ya kifamilia
Kwani mabibi siku hizi hawachezi na wajukuu? Hawalei wajukuu?
Kwani huko sisiemu hawapo wengine wanaoweza kutumikia wananchi?Nani aliyekuambia ameenda kungombea kwa sababu ya pesa? Kama ameona akawatumikie wananchi wa jimbo lake kwa ukaribu.
Kwani huko sisiemu hawapo wengine wanaoweza kutumikia wananchi?
KabisaTena vijana wenye nguvu zao na waadilifu wapo kiibaoo
Nadhani kuna post yangu pale chini hukuisoma.Acha fikra potofu mkuu, watu wanaoamini mtu hutafuta nafasi ya uongozi ili kujipatia pesa hafai kuwa kiongozi.
Ina maana Hilary Clinton huko kote alikopitia kisiasa ilikuwa ni sababu ya tamaa zake za pesa?
Mama Salma ni mwanasiasa Kama wanasiasa wengine. Kikwete kuwa Rais mstaafu siyo kizuizi cha familiya yake kushiriki siasa.
Acha familiya itumie damu na uzoefu wa JK kisiasa na kiungozi kuitumikia Tanzania, ndio talanta yao.
Kuna mtu humu kamfananisha na Hilary Clinton ilibidi nicheke mkuu.Kuna watu bila vyeo vya kisiasa wanajiona hawajakamilika.
Usishangae akajifanya Hilary Clinton kutaka kugombea urais.
Acha fikra potofu mkuu, watu wanaoamini mtu hutafuta nafasi ya uongozi ili kujipatia pesa hafai kuwa kiongozi.
Ina maana Hilary Clinton huko kote alikopitia kisiasa ilikuwa ni sababu ya tamaa zake za pesa?
Mama Salma ni mwanasiasa Kama wanasiasa wengine. Kikwete kuwa Rais mstaafu siyo kizuizi cha familiya yake kushiriki siasa.
Acha familiya itumie damu na uzoefu wa JK kisiasa na kiungozi kuitumikia Tanzania, ndio talanta yao.
Hoja yangu kuu ni uwezo wa kisiasa wa mama yetu Salma.
Hivi unahisi anafikia hata nusu ya uwezo wa mama Hilary Clinton the former US Secretary of State, Governor, writer, public speaker, and a lawyer?
Walinganishe elimu, uwezo wa kuongea, nyadhifa zao za kisiasa n.k.
Angalia michango ya mama Salma Kikwete bungeni kisha angalia michango na machapisho ya mama Hilary Clinton!!
Mama Salma hata kuongea tu bungeni ni shida, rudia kusikiliza michango yake bungeni.
Kwanini tulinganishe matufaa na machungwa?
I mean comparing apples and oranges.
Tuwalinganishe Matumla na Tyson, Mwakinyo na Joshua, Cheka na Lenox Lewis ni haki kweli?
Tuwalinanishe Harmorapa na Diamond (Naseeb), au Marijan Rajabu na Ally Choki ni haki?
Hakuna kipengele cha katiba kinachomzuia rais kuimilikisha ardhi yote ya Tanzania familia yake.Kwani shida itakuwa wapi?
Kuna kipengele cha Katiba kinachomzuia?
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Akiwa ndio Mke wa Rais wa kwanza kuwa Mbunge nchini pia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)
Mama jipumzikie ule pensionSalma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Akiwa ndio Mke wa Rais wa kwanza kuwa Mbunge nchini pia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)
Sina chuki na mama lakini ukweli lazima usemwe, akichaguliwa yeye ni upotevu wa nafasi bure tu.
Mama angeweza kufanya mambo mengine na mataasisi yao akaachia wengine hiyo nafasi ya bungeni.
Kwanza yeye na mumewe wote wanapata huduma za serikali vizuri tu hana njaa ya pesa.
Kama anajiona bado kijana hapendi kukaa hivi hivi angejikita hata kwenye miradi ya kilimo na ufugaji ya familia. Watu wenye mitaji na mitandao (Business network connections) kama hawa ndio hufaa kuonesha mfano wa kufanya biashara kubwa za kusafirirsha nje bidhaa au mazao ya kilimo na ufugaji kwenda nje ya nchi. Huko atazalisha ajira nyingi sana.
Siasa awaachie wanawe akina Ridhiwan a.k.a Riz-moko (Riz1).