Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

Watu wanakaza ubongo tu, ila mama yuko sahihi sana. Wapewe stahiki zao za utumishi wa umma
Huna akili, hjyo kutoka uwalimu hadi kuwa first lady amepanda cheo. Ukishakuwa mke wa rais mstaafu, serikali imeweka utaratibu wa kuwaudumka mpaka vifo vitakapo wakuta. Sasa anataka pension ya nini?
 
Alipwe pensheni kwa kutom♧wa na rais mstaafu wa nchi ama?


Apeleke kule vimiguu vyake vyembamba kama chelewa
 
We ni fala, nenda kamsikilize utaelewa, sio unaanzisha uzi kijinga kiasi hiki wakati hujamsikiliza, amesema wazi hawapewi hayo mafao pale wanapoachishwa kazi zao ambazo walikuwa wanafanya.
Povu la nini mama Salma,

Jibu hoja acha matusi
 
Bungeni wamejazana wawakilishi wa chama pendwa, siyo wa wananchi..
Usishangae wakipitisha hilo 'ombi' la Salma!
 
Pension ya Kikwete sio yake, mshahara wa mwanae sio wake
na yeye ameongelea mafao ya wake wa viongozi wote wakubwa, hakuna sehemu imeandikwa wasipewe stahiki zao
 
Hawajali. Ccm ni dubwasha moja hatari sana kwa ustawi wa hii nchi. Kwa namna hiyo lazima waigomee katiba mpya.
 
Huyu mama hivi angeolewa na kinyozi naona akiona Kuna foleni ya wateja salon Kwa me wake nae angeweka foleni ya vidume nyumbani
 
Muongo huyo au alikataa mafao kwa kipindi kile kwa kutegemea ikulu lakini kipindi yupo ikulu angetaka mafao unazani nani angemnyima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hatujamlipa pension aseme kazi aliyokuwa anafanya ni ipi na amefanya kwa kiwango kipi atuwekee na kavideo tuone uchapa kazi wake.
 
Tuanze kwanza orodha ya wake was viongozi wastaafu.
1.Mama Sokoine
2.Mama Bilal
Mama Salmin
Mama waryoba
Mama msuya
Mama kawawa
Mama lowasa
Mama pinda
Mama Malechela
Mama Maria
Mama Anna mkapa
Mama Mwinyi
Mama Janneth
Mama Salma
Mr Suluhu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakaza ubongo tu, ila mama yuko sahihi sana. Wapewe stahiki zao za utumishi wa umma
Nikweli yupo sahii kwa maslai yake na watoto wake maana watoto wake bado wadogo na ukute mume ana watoto wengi nje ya ndoa Wana mtegemea, Viongoz wa Africa tofauti na viongozi wa Mabeberu mfano Bush uwezi kusikia ana watoto zaidi ya 5 na nje ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio hujamuelewa
Anachotaka ni mafao kwa kazi ya first Lady siyo kwa kazi aliyokuwa anafanya kabla ya mume wake kuwa rais
 
Magufuli alitaka kuitoa serikali kutoka katika mikono ya familia chache zilizoifanya Kama 'fursa' kwa vizazi vyao ingawa naye alikuwa na mapungufu yake. Hapo hamna la ajabu ndugu yangu maana ni mwendelezo wa upigaji na nikuhakikishie kuwa 'HUYU HAJAROPOKA' soon utashika kichwa chako tena. Na haya yanatokea kwa sababu mzazi wetu hayuko home.
 
Fact.Hawatosheki hawa.Wangejuwa wanamchi wengi huku kitaa tunaitisha siku kwa buku wasingesema uzembe huo.Kama hawajali hali zetu tunaendelea kuomba laana ziwe juu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…