Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

Tena aache kupewa na huku mumewe ni Rais
 
K

Mama Salmin
Mama waryoba
Mama msuya
Mama kawawa
Mama lowasa
Mama pinda
Mama Malechela
Mama Maria
Mama Anna mkapa
Mama Mwinyi
Mama Janneth
Mama Salma
Mr Suluhu


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa Mama mwinyi si double ma mwinyi's mafao
 
Fact.Hawatosheki hawa.Wangejuwa wanamchi wengi huku kitaa tunaitisha siku kwa buku wasingesema uzembe huo.Kama hawajali hali zetu tunaendelea kuomba laana ziwe juu yao.
Kifupi huyo mama ni mlafi sana na h ata akipata hiyo pension inayomtoa utu bado ataona ni ndogo sana ataomba iongezwe
 
Huyu mama ni mlafi kama yule mnyama ayependwa sana na ndugu zetu katika damu
 
Pascal Mayalla utanisamehe ila napenda kukukumbusha kuwa mpaka hapa tulipo ndio mmetufikisha hapa na bado mnatupeleka nchi ya ahadi.. asanteni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwa tafsiri nyingine uongozi hauna hela kama ajira za kudumu
 
Tofauti iko wapi Mkuu?

Hebu wewe tufafanulie
Nilichomwelewa ni kwamba anadai kabla ya waume zao kuwa viongozi wakuu (rais, vice & waziri mkuu) walikuwa na ajira zao. Baada ya waume zao kupata nyazifa za juu, walilazimika kuacha kazi zao (kama wastaafu) na kufanya majukumu kama wake wa viongozi wakuu

Sasa hapo anadai mafao yao ya kazi zao baada tu ya kustaafishwa.

Nayeye hajasema anadai ila analenga kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo na sio tu wake bali pia inaweza kuwa ni wanaume wenye viongozi wakuu wanawake kama ilivyo sasa raisi ni mwanamke na anamume wake kama hapo awali alikuwa ana kazi yake na amestaafishwa alipwe mafao yake.

Sasa nyinyi mnadai kwamba yeye anataka mafao kwakuwa ni mke wa raisi mstaafu huoni utofauti hapo
 
Mkuu humu ndani wamejaa vichaa na watu wanaookoteza hoja ili mradi wamchafue mtu au kumdharilisha.
 
UKISKIA UPUMBAVU NA UPUNGUWANI NDO HUU SASA AU TEAM CHATO LABDA MAANA MNA KURUPUKA SANA HALF MKITULIZWA MNAONA MNAONEEWA...
KWAMZA MAMA SALMA A.K.A THE BEAUTIFUL FIRST LADY EVER IN THIS COUNTRY HISTORY ALIKUA AKICHANGIA MADA BUNGENI KUHUSU MASLAHI YA WAFANYAKAZI WA UMMA YY ALIKUA AKICHANGIA TU HOJA NA PIA ALIKUA AKIZUNGUMZIA PENSHEN YA KAZI ALOKUA AKIFANYA ZAMANI NI HAKI YAKE HATA KM HANA NJAA NAYO PENGINE KUNA MASKINI ANATAKA KUMPATIA HIYO PENSHEN IKAMFAE ACHENI KUDHANIA MABAYA TU
 
mswele
Sasa Mkuu naomba utueleze upumbavu wetu hapo uko wapi?

Hivi kusema kuwa Mama Salma, kaomba wafikiriwe wake wa viongozi wakuu, kupewa pension, ndiyo upumbavu?🥺

Au wewe ndiyo mama Salma??
 
We ni fala, nenda kamsikilize utaelewa, sio unaanzisha uzi kijinga kiasi hiki wakati hujamsikiliza, amesema wazi hawapewi hayo mafao pale wanapoachishwa kazi zao ambazo walikuwa wanafanya.
Ujuaji mwingi....
 
Mi nadhani hapa suluhu ni ndogo sana cha msingi kama umeolewa na ukaona mumeo kapanda cheo unatakiwa uache kazi yako ya awali na unaona uchungu utapoteza mafao yako cha msingi achika uendelee na kazi yako ya awali maana yale ma V8 na masafari ya nje na ma posho ya mzee na ma privilege yote ya mzee kua prezidaaa hayatoshi na ma ubunge ya mchongo basi we achika tu ungoje mafao na hapo uonbee Mungu asikumbuke kukuita katika makazi yake kabla hujastaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…