Mama yangu alifariki huku akijua simpendi

Ukitaka uone Dunia chungu penda kuwawekea vinyongo na chuki watu waliotangulia mbele za haki kiufupi msamehe tu na wew ipi siku utalamba tu mchanga why ushindwe kusame
mkuu umebahatika kusoma badiko lote kabla ya kukomenti?
 
Siona kama kuna kosa ambalo ulishindwa kumsamehe mama yako, labda baba ambae unaweza singiziwa ila sio mama, awe amekuwangia ,awe amekukosea chochote we hukupaswa kumchukia hata kidogo, maana we ni uchafu wake pengine angekutoa kupitia pedi tu, ila anyway kashakufa, we fanya maisha yako mengine ikiwezekana tafuta mama mwingine mpende uyo,

Ila nakutabira utakuja kufa vibaya na kifo kitasababishwa na mwanamke karma is real
 
Jisamehe mwenyew kwanza then usirudie Hilo Kosa wamama maranyingi hawajuagi kama hatuwapendi Bali wanatuchukuliaga kama watoto watukutu na wasumbufu tu ndo maana tunafanya makosa mengi na still Bado wanatubeba na kutuhesabu kama watoto wao
Omba Mungu akusamehe na muombee mama Yako Mungu amrehemu
 

Mungu anasamehe, jisamehe, endelea mbele
 
Usihukumu kabla hujahukumiwa na yeye binadamu huenda Kuna namna alifeli kutambua ubaya wa matendoyake
 
Nakuelewa sana my dear shida inakuja hapo kwenye Chuki, mzazi na yeye binaadam anakosea, mtoto unayo haki ya kukasirika pia kwa kua na wewe ni binaadam ila tatizo linakuja kwenye CHUKI unamchukia Mama yako hadi anakufa! Pengine aliumwa huendi kumuangalia kisa una Chuki nae!!

Kuna tofauti ya Chuki na Hasira mimi sio mzazi tu hata mtu baki siwezi Mchukia, ona sasa anavyoteseka hadi kujiita Maji ya Gundu, anakiri kila anachokishika kina mikosi na amejua sababu ni nini hapo anapaswa ajisamehe kwanza yeye mwenyewe.
 
Kama kweli humpendi no haja ya kujutia relax amini ulikua sahihi hivyo tu.
 
Kabisa mamy, hebu abadili hili jina aisee. Naamini hana gundu wala.mkosi. atubu tuu na maisha mapya yaanze
 
Na ukute maumivu ya kuona mwanae wa damu anamchukia yalichangia sana mauti yake
 
Nenda makaburini alipolala kaongee naye kwa unyenyekevu kaombe radhi na kutaka suluhu naye ATAKUSIKIA
 
amina
amina
Hapana dear, wala huna mikosi. Ni kwasababu tu unajuyia. Kama ni majuto tayari umeshajutia. Haujakosea saanaaa. Hata mimi si mkamilifu. Piga moyo konde. Yaan ni tona tu itakuponya na ukihadithia kilichokuumiza
shukrani sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…